Pesa ipo sema wewe huna

Upo sahihi kwa watu ambao wameanza kuwekeza 1990 kuja 2015 wengi pesa ipo wanaolia njaa ni vijana ambao hawana ajira au wanalipwa ujira kidogo kazini huwezi kulipwa 1mil kuja chini uje uwe na maisha mazuri. pesa ikitoka kwako inaenda kwa mwingine.
 
Point boss
 
Wenzetu rwanda wamefikia teknolojia ya kutengeneza simu zao, we unafurahia plate number ya gari kufikia levo ya DSD
 
Wakuu habari. Watu wanasema ooh hela hamna, mara maisha magumu. Siamini kwani kwa utafiti wangu watu hela wanazo angalia magari juzi juzi plate namba ilikuwa DPA sasa ni DSD, hela ipo sema wewe hauna.
Kumilik magar si kipimo Cha watu kuw na pesa ukiongelea mmoja mmoja utaona pesa iko pesa inachekiwa katika mzunguko wake na watumiaj w pesa wakoje
 
Back
Top Bottom