Lole Gwakisa
JF-Expert Member
- Nov 5, 2008
- 4,776
- 2,389
Nafikiri inategemea mtu unataka maisha gani ya kukupa furaha. Wapo ambao pia ni matajiri sana Duniani kama vile Bill Gate na wanaishi kwenye nyumba za kisasa. Naamini kwenye kutafuta kwa akili na kufurahia maisha!Wakuu naleta kahabari juu ya wajamaa waliotembelewa na fwedha serious wanavyoishi.
Sisi hapa jamaa akitembelewa , mara kaleta Vogue au Hummer kwa ndege.
Rahisi kujua kuwa hizo ni za EPA!!
Billionaires living below their means
Each of these men is worth a fortune, though you might not know it to look at them. Frugal, no-frills approaches have paid off in their businesses and their lives.
By Investopedia
At least once in your life -- maybe even once a week or once a day, for that matter -- you have fantasized about coming into a lot of money. What would you do if you were worth millions or even billions?
Some of you may do nothing at all. Believe it or not, there are millionaires and billionaires among us who masquerade as relatively normal, money-conscious people. Take a peek at some of the most frugal wealthy people in the world.
Warren Buffett
Millions of people read Warren Buffett's books and follow every move of his company, Berkshire Hathaway. But the real secret to Buffett's personal fortune may be his penchant for frugality.
Buffett, who is worth an estimated $47 billion, eschews opulent homes and luxury items. He still lives in a modest home in Omaha, Neb., that he purchased for $31,500 more than 50 years ago. Although Buffett has dined in the best restaurants around the globe, given the choice, he would opt for a good burger and fries accompanied by a cold cherry Coke.
When asked why he doesn't own a yacht, he responded, "Most toys are just a pain in the neck."
Hiyo nyumba hapo juu waweza kuiona sehemu yoyote mjini DSM, sehemu za Masaki,Mbezi etc
Mkuu akipata pesa bila shngingi basi maisha hayaendi!
Kwa nini?
Warren Buffet anaishi maisha ya kizamani kwasababu pesa yake ni ya zamani; angalia vijana wa pesa ya sasa wanavyoishi kulingana na pesa yao ya sasa hao ndio wakina Ellison na vijana wa GOOGLE-yatch na Jet kwa kwenda mbele!!
Ndivyo tulivyo tukipata pesa tunaanza yule lole gwakisa alikuwa ananiona mimi mshamba sana ngoja ninunue vogue halafu kila siku jioni nikiwa natoka kazini lazima nipite mtaani kwake atanikoma ndivyo tulivyo tukipata pesa unaanza kuwaza kuwaonyesha watu manjonjo yako ili wakujue ndiyo yale ya mapedesheee kwenda kuwapa waimbaji hela kwenye bendi ili wawataje majina yao ujinga mtupu
Lakini pia kama yy alikua hazihitaji anakuwanazo kufanya nini? Hata hiyo pekee tells yy pleasure yake ni kuona anakuwa counted kama namba one rich person in the world na hiyo style ya maisha ni njia moja ya kupata self actualization. Binadamu wananjia nyingi sana za kuji-differentiate from others. Ukienda nchi zilizoendelea kama Scandinavia wamekuwa wakifanya michezo ya hatari tu na lengo ni kuwa tofauti na wengine maana kutokana na income gap ndogo basi kujulikana inakua tabu sana so badala ya kutumia income ku maximise preferences and normally kuwa appreciated wanakuja na haya mambo yakufanya imposibilities.
Kila mwanadamu ameumbwa akiwa na attribute ya ku-worship ndiyo apate total satisfaction; sasa differences zinakuja kwenye whom does one worship basi mengine yote ni justification tu!
je kasi ya kuzipata hizo pesa (kwa uhalali au ufisadi) haipelekei aina ya matumizi?
mfano mtu aliyepata pesa kwa taratibu (buffet) ataitumia kwa mwendo huohuo na
waliopata pesa kwa kasi (brin na page) watatumia kwa kasi pia.
Warren Buffet anaishi maisha ya kizamani kwasababu pesa yake ni ya zamani; angalia vijana wa pesa ya sasa wanavyoishi kulingana na pesa yao ya sasa hao ndio wakina Ellison na vijana wa GOOGLE-yatch na Jet kwa kwenda mbele!!
Lakini pia kama yy alikua hazihitaji anakuwanazo kufanya nini? Hata hiyo pekee tells yy pleasure yake ni kuona anakuwa counted kama namba one rich person in the world na hiyo style ya maisha ni njia moja ya kupata self actualization. Binadamu wananjia nyingi sana za kuji-differentiate from others. Ukienda nchi zilizoendelea kama Scandinavia wamekuwa wakifanya michezo ya hatari tu na lengo ni kuwa tofauti na wengine maana kutokana na income gap ndogo basi kujulikana inakua tabu sana so badala ya kutumia income ku maximise preferences and normally kuwa appreciated wanakuja na haya mambo yakufanya imposibilities.
Kila mwanadamu ameumbwa akiwa na attribute ya ku-worship ndiyo apate total satisfaction; sasa differences zinakuja kwenye whom does one worship basi mengine yote ni justification tu!
Sometimes yes and some times no.
Ulipotea sana dada,hujambo lakini?