PESA ikikutembelea-live frugally! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

PESA ikikutembelea-live frugally!

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Lole Gwakisa, Sep 23, 2010.

 1. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #1
  Sep 23, 2010
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Wakuu naleta kahabari juu ya wajamaa waliotembelewa na fwedha serious wanavyoishi.
  Sisi hapa jamaa akitembelewa , mara kaleta Vogue au Hummer kwa ndege.
  Rahisi kujua kuwa hizo ni za EPA!!

  Billionaires living below their means

  Each of these men is worth a fortune, though you might not know it to look at them. Frugal, no-frills approaches have paid off in their businesses and their lives.

  By Investopedia

  At least once in your life -- maybe even once a week or once a day, for that matter -- you have fantasized about coming into a lot of money. What would you do if you were worth millions or even billions?
  Some of you may do nothing at all. Believe it or not, there are millionaires and billionaires among us who masquerade as relatively normal, money-conscious people. Take a peek at some of the most frugal wealthy people in the world.

  Warren Buffett

  Millions of people read Warren Buffett's books and follow every move of his company, Berkshire Hathaway. But the real secret to Buffett's personal fortune may be his penchant for frugality.
  [​IMG]


  Buffett, who is worth an estimated $47 billion, eschews opulent homes and luxury items. He still lives in a modest home in Omaha, Neb., that he purchased for $31,500 more than 50 years ago. Although Buffett has dined in the best restaurants around the globe, given the choice, he would opt for a good burger and fries accompanied by a cold cherry Coke.
  When asked why he doesn't own a yacht, he responded, "Most toys are just a pain in the neck."

  Hiyo nyumba hapo juu waweza kuiona sehemu yoyote mjini DSM, sehemu za Masaki,Mbezi etc
  Mkuu akipata pesa bila shngingi basi maisha hayaendi!
  Kwa nini?
   
 2. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #2
  Sep 23, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Ndivyo tulivyo tukipata pesa tunaanza yule lole gwakisa alikuwa ananiona mimi mshamba sana ngoja ninunue vogue halafu kila siku jioni nikiwa natoka kazini lazima nipite mtaani kwake atanikoma ndivyo tulivyo tukipata pesa unaanza kuwaza kuwaonyesha watu manjonjo yako ili wakujue ndiyo yale ya mapedesheee kwenda kuwapa waimbaji hela kwenye bendi ili wawataje majina yao ujinga mtupu
   
 3. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #3
  Sep 23, 2010
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Haswaaa!
  Mapredejee mupo? kina Papaa musofe na kina Fodi
   
 4. Erick_Otieno

  Erick_Otieno JF-Expert Member

  #4
  Sep 23, 2010
  Joined: Mar 28, 2010
  Messages: 630
  Likes Received: 944
  Trophy Points: 180
  Nafikiri inategemea mtu unataka maisha gani ya kukupa furaha. Wapo ambao pia ni matajiri sana Duniani kama vile Bill Gate na wanaishi kwenye nyumba za kisasa. Naamini kwenye kutafuta kwa akili na kufurahia maisha!
   
 5. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #5
  Sep 23, 2010
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Warren Buffet anaishi maisha ya kizamani kwasababu pesa yake ni ya zamani; angalia vijana wa pesa ya sasa wanavyoishi kulingana na pesa yao ya sasa hao ndio wakina Ellison na vijana wa GOOGLE-yatch na Jet kwa kwenda mbele!!
   
 6. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #6
  Sep 23, 2010
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Ni kweli mkuu, lakini ujembe ni kuishi modestly,
  Kumbuka kuwa jamaa kama Warren Buffet walianza kuwa na pesa over 30 yrs ago na bado wanazo.
  Masikini Michael Jackson pesa imemuua indirectly!
   
 7. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #7
  Sep 25, 2010
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Michael Jackson alikuwa anashirikiana na majasusi na ndio waliomfikisha pabaya;lakini hao vijana wa GOOGLE na wahindi wakina AMBANI ambao ni matajiri wa kutupa hawana uswahiba na majangili!!It is the company you keep that will determine your destiny.
   
 8. Mziba

  Mziba JF-Expert Member

  #8
  Sep 26, 2010
  Joined: Feb 7, 2010
  Messages: 226
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Nakubaliana na maoni yote yaliyotangulia. Kisha, napenda kuchangia maoni. Nadhani, matatizo ya utumiaji kwa ubadhirifu uko kila sehem. Thamani ya kitu sio moja ya ushahidi wa kua mtu ni mbadhiru. Na pia vilevile, kua na nidhamu katika matumizi ya Hela, sio ushahidi kua mtu huyu ni Bakheli. Lakini jamani huyu mzee hizi hela atamuachia nani. Novosikia alimwambia mtoto wake atafute zake, . Na mtoto wake I guess is the most low key of all rich kids. But I've heard him talking about his mother when it comes to discipline. Just like MwanaFalsafa1 said in related topic, "Kila nyuma ya mwanueme aliefanikiwa mission yake kuna mwanamke hodari. Boys we can't beat that, only respect it and luv.
   
 9. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #9
  Sep 26, 2010
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Mtu aliyezipata pesa zake bila kutumia udhalimu wowote mara nyingi anazitumia kwa uangalifu.
  Pesa nyingi vile vile zina tatizo moja kwa waliozipata kwa wingi-very much money gives one a false sense of relief from imaginary bondage.
  Na hapo ndo pesa inambadilisha mtu kuwa kituko katika jamii.
   
 10. F

  Felister JF-Expert Member

  #10
  Sep 26, 2010
  Joined: Aug 5, 2008
  Messages: 377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Lakini pia kama yy alikua hazihitaji anakuwanazo kufanya nini? Hata hiyo pekee tells yy pleasure yake ni kuona anakuwa counted kama namba one rich person in the world na hiyo style ya maisha ni njia moja ya kupata self actualization. Binadamu wananjia nyingi sana za kuji-differentiate from others. Ukienda nchi zilizoendelea kama Scandinavia wamekuwa wakifanya michezo ya hatari tu na lengo ni kuwa tofauti na wengine maana kutokana na income gap ndogo basi kujulikana inakua tabu sana so badala ya kutumia income ku maximise preferences and normally kuwa appreciated wanakuja na haya mambo yakufanya imposibilities.

  Kila mwanadamu ameumbwa akiwa na attribute ya ku-worship ndiyo apate total satisfaction; sasa differences zinakuja kwenye whom does one worship basi mengine yote ni justification tu!
   
 11. M

  Malila JF-Expert Member

  #11
  Sep 26, 2010
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Sometimes yes and some times no.

  Ulipotea sana dada,hujambo lakini?
   
 12. GodfreyTajiri

  GodfreyTajiri JF-Expert Member

  #12
  Sep 26, 2010
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 846
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 60
  je kasi ya kuzipata hizo pesa (kwa uhalali au ufisadi) haipelekei aina ya matumizi?

  mfano mtu aliyepata pesa kwa taratibu (buffet) ataitumia kwa mwendo huohuo na
  waliopata pesa kwa kasi (brin na page) watatumia kwa kasi pia.
   
 13. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #13
  Sep 27, 2010
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Nakubaliana na hili mkuu, kuna msemo easy come easy go!
   
 14. F

  Fundi Mchundo JF-Expert Member

  #14
  Sep 27, 2010
  Joined: Nov 9, 2007
  Messages: 4,706
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  Zamani kwa vipi? Hakurithi bali alitafuta mwenyewe. Ni aina ya mtu jinsi alivyo. Hata huyo Bill Gates hatanui kama ambavyo wanavyofanya mabilionea wa kihindi. Kijana wa Facebook mwenye $ karibu bilioni 7 bado anaishi kwenye nyumba ya kupanga. Angalia maisha ya Slim wa Mexico!

  Amandla......
   
 15. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #15
  Sep 28, 2010
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Mwenzetu huyu zimemtembelea-Mnigeria
  Mpaka habari zake zenaandikwa, ndiye mwafrika wa kwanza kuwa na pesa nyingi duniani na usafiri wake ni private jets mbili.

  The World's Billionaires
  #334 Aliko Dangote
  03.05.08, 6:00 PM ET

  < Previous: Patokh ChodievNext: Saad Hariri > [​IMG]
  Pius Utomi Ekpei/AFP/Getty ImagesAge: NA

  Fortune: inherited and growing

  Source: sugar, flour, cement manufacturing

  Net Worth: $3.3 bil [​IMG]

  Country Of Citizenship: Nigeria

  Residence: Lagos , Nigeria, Middle East & Africa

  Industry: Diversified

  Marital Status: NA,

  Education: NA

  Nigeria's first billionaire hit the jackpot when his sugar-production company listed on the Nigerian stock exchange last year. Meanwhile, proposed initial public offerings of his flour and cement companies have stalled. Began career as trader at 21 with loan from his uncle; built his Dangote Group into conglomerate with interests in sugar, flour milling, salt processing, cement manufacturing, textiles, real estate, haulage and oil and gas. Closely linked to Nigeria's former president Olusegun Obasanjo.

  Haya bwana, sasa sijui ni fisadi original au vipi(in red)
  Source Forbes.com
   
 16. Smarter

  Smarter JF-Expert Member

  #16
  Sep 28, 2010
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 455
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Ni kweli, Waafrica tunapenda Maonyesh, Angalia hata mtu kiwa na Simu ambayo kidogo ni ya TShs za kutosha atataka watu waione,
  Tunaishi kimaigizo sana, nadhani ni kujikweza tu, na kutojua real meaning of life na nini ni tunataka out of life, I can guarantee you, hata huyu M-nigeria probably vitukuu wa vitukuu wasione utajiri wake!!!!!!
  "We do collect liabilities and toys"
   
 17. F

  Felister JF-Expert Member

  #17
  Oct 28, 2010
  Joined: Aug 5, 2008
  Messages: 377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Sijambo kaka Malila nipo jimboni naomba kula! Aise after kuomba kula nitakutafuta
   
 18. O

  Ogah JF-Expert Member

  #18
  Oct 29, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  I kind of knew that she will never get out of your nerves.........if you know what i mean!

  Ni kweli Felister usipotee namna hiyo............
   
 19. WABUSH

  WABUSH JF-Expert Member

  #19
  Oct 29, 2010
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 285
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mie nadhani kila mtu analengo katika kutafuta pochi yake na hiyo ndio ina-guide matumizi yake pia. Hata akina kabwela na visenti vyao wanatofautiana matumizi
   
 20. Cathy Duncan

  Cathy Duncan Member

  #20
  Nov 3, 2010
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yeah WABUSH, I agree with your post, because everybody thinks a lot before spending money from his pocket, because the circumstances are quite tough these days.
   
Loading...