Pesa huongeza chachu ya mapenzi

Pesa huongeza chachu ya mapenzi

Kutenganisha mahindi na mchele is just simple thru sorting.

Lakini mapenzi na pesa, you have boil the two up to 1000000'C hapo ndo pesa itayeyuka mapenzi yatabaki.
 
pesa siziwe nyingi, maana kuna wengine wakiwa na pesa mwanamke atafanywa kama mtumwa. Mi naona mapenzi ya kweli ndio muhimu zaidi bora mpate ya kubadilishia mboga.
 
Back
Top Bottom