Hello Jf
Hakika kua uyaone.
Kuna kipindi nilipokua kijana niko sec hadi chuo umasikini wa familia na separation katika jamaa zangu ilikua motivation ya mimi kupambana Kaja kuondoa anguko hili la kifamilia.
Nilijifariji labda Nikiwa mkubwa na maisha yangu labda kwa sehemu naweza kuja ibadirisha hali hii ila nachokiona situation inaendelea na matumaini yanapotea na soon naweza kuja ku -surrender!!!!
Iko hivi wakuu, tumezaliwa sita ila tumekulia kwenye extended family, yale maisha ya kuishi na watoto wa mjomba, Shangazi na watoto wa Baba mdogo.
Tulikua familia masikini ila since back sijawahi ona spirit ya kutakiana heri. Kila mtu anapambana kivyake na struggle zake ana hustle kivyake jambo ambalo inaendelea mpaka leo.
Msure ameshatangulia mbele za haki, Ila Bi mkubwa amezeeka na hivyo hana tena influence kwa watoto wake.
Mimi ni mdogo kwa mabrother, ila kila ukijaribu jitihada za kuwauunganisha utaishia kuambiwa dogo usitupande kichwani, mara punguza mzuka huyajui maisha, mara mind your business.... And all things like that....
Najitokeza kwenye jukwa hili kutaka kujua yafuatayo
1: Mbona familia nyingi issue ya umoja ni changamoto?
2: Kwa mliofanikiwa katika eneo hili ni strategy zipi mnatumia?
# PESA hatuna hata kupendana tumeshindwa???