Pesa haitunzi mke.

Pesa haitunzi mke.

Mi nakubalina na hilo, pesa haitunzi mke, bali pesa nikama chunvi kwenye tango. Mtu aachi kula tango hetikisa halina chuvi, huyo atakua anachekesha. Mke anatunzwa na mambo ha 1- MAPENZI YA KWELI ( kuheshimiana, kuaminiana, kuvumiliana, pia lugha nzuli inatajika ) 2- MCHEZO WA KIKUBWA unanafasi kubwa ktk kumtunza mke. Ikitokea hauna uwezo wa kutoa huduma ya faragha kwa ufanisi unao takiwa basi hatauwe na kiwanda cha kutengeneza pesa bado mke ata kushinda, . Ukishakua na vitu hivo sasa changanya na pesa hapo utakua na uwezo wa kuishi na wake hata wanne nabado utawa mudu

Kabisa mkuu...kuna wengine akishamnunuliza mke wake Vitz ,baaasi anaona kashamaliza kila kitu......kuna mwingine alikuwa anajitamba kuwa mke wake kila siku anashika sio chini ya milioni 20 kutoka kwenye biashara zao........alikua anawatambia washkaji kua mke wake awezi kugongwa nje kwa sababu hiyo ya kushika pesa nyingi kila siku.....kumbe katika hao anaowatambia kuna mmoja anampiga mbupu balaa...na watu wanajua sema wanamkaushia kwa sababu ya majigambo yake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom