Love na hilo lialama la freemason wapi na wapi?
Love is expressed in GIVING, GIVING and more GIVING!
Kwa ivo pesa inamtunza nan? Heheheheheeeeee! Halo. Yan nimekupendaje.
"Pesa haitunzi mke" na mwengine "degree haitunzi mume" nadhani tuna haja ya kurudi darasani!
acha tu mwingine atakuja na ''mimba haileti ndoa'' umenipata.
Au ''Kupata mimba sio sababu ya kuolewa'' sister.
Kaunga Kama pesa ngapi hivi zinatosha.........au unataka twende wote.
Ok poa basi nitachukua na cheque book kabisa kama tahadhari.....si unajua saa nyingine system zinagomaga...nimejifunza hilo kutoka uchaguzi wa Kenya.Wewe beba tu Credit and Debit cards zako zote, mpaka utakaposhindwa kubeba shopping bags! LOL
Bob Lee Swagger
umenifanya nicheke ujue!
jana na juzi ngoma yetu tuliicheza wenyewe na nyie leo zamu yenu
mtiririke hapa vipi pesa inatunza mke au vipi ni kinyuma chake!
sisis jana tulitetea degree zetu
Anazo lakini sio kigezo cha kumridhisha mke na kumtunzaHauna pesa nini?
Anazo lakini sio kigezo cha kumridhisha mke na kumtunza
Wewe jidanganye tu kama inatoa relief kwa muda; but the fact remains, pesa ni kitu muhimu sana katika ulimwengu wa leo, iwe kwenye form yoyote ile; asset, hard au soft kama Mpesa. LOL
Pesa ndio imejenga bassilica
Pesa ndio inanunua speaker za misikitini
Pesa ndio inamfanya mjamzito ajifungue salama
Pesa inapunguza div. zero
Pesa inafanya kissing iwe tamu (kama domo halijaona colgate ni unkissable). LOL
Pesa inaongeza nguvu za kiume (asali imepanda bei)
Umesahau na dushelele pia.