Pesa haitunzi mke.

Pesa haitunzi mke.

Umenisoma.:rockon:
Tena mi zaidi ya kukusoma nimekuandika pia,mwanamke anatunzwa na kauli nzuri,mapenzi motomoto,handling them like babies and calling them sweet names na suprise nzurinzuri na sio pesa.
 
::
Ntakuwa wa mwisho kuamini !!
=
 
Tena mi zaidi ya kukusoma nimekuandika pia,mwanamke anatunzwa na kauli nzuri,mapenzi motomoto,handling them like babies and calling them sweet names na suprise nzurinzuri na sio pesa.

Umesahau na dushelele pia.
 
"Pesa haitunzi mke" na mwengine "degree haitunzi mume" nadhani tuna haja ya kurudi darasani!
 
Kua na pesa alafu unakisukari...au unasafiri sanaaa..uone moto wake

Sasa wewe usiwe na kisukari na usisafiri wala usifanye kazi, uwe unakaa tu ndani, shinda na taulo tu ndani uone
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom