piga simu 0712652110 ipo DAR . NEC, Bulb ina masaa mengi, remote , cables vipoAtt:
Natafuta projector used, iwe na hali nzuri, vifaa vyote i mean accessory zote ziwepo, niko mkoani nauli ya kusafirishia ni juu yangu!
PM
mkuu naomba ufafanuzi wa hiyo kitu hapo!!!...Bulb ina masaa mengi...