Pdidy Platinum Member Joined Nov 22, 2007 Posts 61,802 Reaction score 38,021 Aug 25, 2010 #1 nimekuwa nikivutana na mwenzangu akisema fedha ndio chanzio cha ukimwi huku nikiamini uzinzi ndio unawaua wengi..ndugu ze tusaidiane kwa hili
nimekuwa nikivutana na mwenzangu akisema fedha ndio chanzio cha ukimwi huku nikiamini uzinzi ndio unawaua wengi..ndugu ze tusaidiane kwa hili
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,928 Aug 25, 2010 #2 Sio kweli kuwa pesa ndio chanzo cha ukimwi mbona hata wasio na pesa nao wanapata ukimwi?
D Dick JF-Expert Member Joined Feb 10, 2010 Posts 477 Reaction score 9 Aug 25, 2010 #3 Pesa sio chanzo cha ukimwi, Pesa ni nyenzo tu, ukiitumia vizuri itafanya mema, ukiitumia vibaya itafanya mabaya. Chanzo cha ukimwi ni tabia ya uzinzi inayowezeshwa na pesa kama nyenzo kwa sehemu mojawapo.
Pesa sio chanzo cha ukimwi, Pesa ni nyenzo tu, ukiitumia vizuri itafanya mema, ukiitumia vibaya itafanya mabaya. Chanzo cha ukimwi ni tabia ya uzinzi inayowezeshwa na pesa kama nyenzo kwa sehemu mojawapo.
Masanilo Platinum Member Joined Oct 2, 2007 Posts 22,283 Reaction score 4,556 Aug 25, 2010 #4 Ngono Nzembe ndicho chanzo!