Kweli ndigi yangu, huyo jamaa wa fleet hiyo ya usafirishaji angekuwa ameajiri Transport Manager mwenye uzoefu wa kusimamia fleet ya magari mazito hilo lisingetokea.Unaweza kuwa na akili ukakosa pesa pia unaweza kuwa na pesa ukakosa akili na maarifa hivyo basi wenye pesa na utajiri wajaribu kutoa ajira kwa wasomi ili waweze kuendesha mali zao wapunguze ubahiri kwa kutoa ajira kwa ambao hawajasoma cheap labour, mungu hawezi kukupa vyote.
We!!wakachukue crane jingine tena!!!