Pesa bila akili ni hatari!

Majoja

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
611
185
Dereva wa kampuni maarufu alikuwa anakwenda mwendo mbaya kwenye mteremko,huko nyanda za juu kusini.
Akapata ajali mbaya kama tunavyoona.
Kwa vile kampuni yao ina pesa wakasema- no problem lete crane tuinyanyue gari.
Kwa vile hata matumizi ya kitaalam ilikuwa shida na hiyo crane ikapinduka kwa kutoyumika vizuri(stability setting).
Ikabaki wote wamepigwa bumbuwazi nini kifanyike na milima ya vifaa vilivyopo chini na mtaroni.
Pesa bila akili ya kutosha!! mbeya march 046.JPG
 
happiness win

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
2,461
1,380
Akili ni nywele kila mmoja ana zake. Inaonekana hawa wana pesa, na vichwa vyao vina vipara hawana akili.
 
MGAWARIZIKI

JF-Expert Member
Dec 16, 2010
305
47
Unaweza kuwa na akili ukakosa pesa pia unaweza kuwa na pesa ukakosa akili na maarifa hivyo basi wenye pesa na utajiri wajaribu kutoa ajira kwa wasomi ili waweze kuendesha mali zao wapunguze ubahiri kwa kutoa ajira kwa ambao hawajasoma cheap labour, mungu hawezi kukupa vyote.
 
Kweli ndigi yangu, huyo jamaa wa fleet hiyo ya usafirishaji angekuwa ameajiri Transport Manager mwenye uzoefu wa kusimamia fleet ya magari mazito hilo lisingetokea.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom