PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

Wakuu msaada kwa mashine hii naweza weka mzigo version ipi kati ya fifa au PES
IMG_20221016_115348.jpg
 

Attachments

  • JPEG_20221016_114836_5688448527182530826.jpg
    JPEG_20221016_114836_5688448527182530826.jpg
    53.6 KB · Views: 33
Mkuu mambo vipi RReigns , naomba link ya latest updated squad ya fifa19...

Kuna moja nimedownload ni nzuri (ila wachezaji wengi sana wameweka sura sio zao tena nyingi ni za kike)
Unajua changamoto inakuja nashindwa kujua kwa kupata hizi patch coz now sichezi pes2017 wala Fifa19
 
Wakuu niaje mashine yangu
HP Revolve G2
Processor corei5 4th Gen
Ram 8GB
Intel hd graphics 4400
Hapo naweza cheza fifa ya mwaka gani na pes ya mwaka gani bila shida
 
Wakuu niaje mashine yangu
HP Revolve G2
Processor corei5 4th Gen
Ram 8GB
Intel hd graphics 4400
Hapo naweza cheza fifa ya mwaka gani na pes ya mwaka gani bila shida
 
Wakuu niaje mashine yangu
HP Revolve G2
Processor corei5 4th Gen
Ram 8GB
Intel hd graphics 4400
Hapo naweza cheza fifa ya mwaka gani na pes ya mwaka gani bila shida
Uhakika ni pes 13 na fifa 14.

Mara ya mwisho nilicheza fifa/pes 19 kwenye gen ya 4, ila inabidi utweak sana kupata perfomance nzuri.
 
Xbox one series S ni console kali na bei nafuu, mpya sometime unaipatq hadi $199 issue nyingi haziletwi kwetu.

Ukiwa na Gamepass huna haja kununua games
Chief nina pad ya ps4 inafanya poa ila tatizo lake moj tu. Ni kujizima. Hasa nikiwa nacheza fifa.

Shida yaweza kuwa ni nini mkuu? Naitumia kwenye pc.
IMG_20230621_134847_940.jpg
 
Kwenye maelezo kidogo mimi bado sijakuelewa ninaweza kutoa maoni nitaweza kukupga changa kidogo unipe maelezo kidogo nitajitaidi nikupe wazo lakufanya
Ni hivi. Nikiwa nimeconnect(wireless) muda naitumia. Inatokea ghafla inastack then inajizima yenyewe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom