PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

Wakuu nacheza PES 2017 kwenye Pc ina run vizuri tu...Shida yangu nikicheza Master league ina crush baada ya msimu mmoja mwenye kujua namna ya kutatua hio problem atiririke
 
Wakuu nacheza PES 2017 kwenye Pc ina run vizuri tu...Shida yangu nikicheza Master league ina crush baada ya msimu mmoja mwenye kujua namna ya kutatua hio problem atiririke
Kama umeweka patch iondoe tafuta patch nyingine. Au nenda kwenye site ulikodownload hiyo patch huenda kuna fix.
 
mkuu troublemaker nimetoka kuchukua PC sasa ina qualification hizi naweza kuweka PES 2019??
IMG-20191030-WA0001.jpeg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom