PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

8Gb parefu hahahahaha dah.....ulitum8a torrent kuishusha mkuu au ulideal na direct?
ttc 2500 gb 10 au unajiunga gb 10 kwa buku saa 6 usiku
Ipo kwenye part so unaweza kuishusha kidogo kidogo.

Ila me sidhani kama nitahangaika nayo. Nitasubiri tu crack za pes2020 na fifa20
 
ttcl gb 10 kwa 2500 ni mchana mkuu ama lipoje hloo..??
 
Gb 1 muda wa kawaida. Gb 9 kuanzia saa mbili usiku hadi 12 asubuhi. 24 hrs.

Ukianza saa mbili usiku kama eneo lako mtandao unasoma vizuri 4g kama mimi mpaka saa 4 had 5+ unakuwa ushamaliza.
ttcl gb 10 kwa 2500 ni mchana mkuu ama lipoje hloo..??
 
Kuna mtu kanambia hapa inawezekana kuna waya wa ku convert HDMI into VGA so inawezekana
Mkuu ingekuwa kama ni monitor(screen ya desktop) kama monitor sawa inawezekana lkn kwa laptop sidhani mkuu.

Kama huna kabisa tv we nunua tu monitor unaipata mpaka kwa 50k then unanua na kifaa ya kuconvert hdmi to vga around 10k sema sauti ndio itabidi uwe na radio au utumie earphone kwenye pad.
 
troublemaker mzee baba nina dell latitude e 4310 ram 4 gb , core i5 , 32 bit naweza cheza fifa gani ? ina intel (r) hd graphics tu
Crack bado haijatoka
Image%20(3).jpeg
 
troublemaker kama local disk c yenye windows imebaki na free space ya gb 1 , si haitafaa kudownload hiyo fifa? au hadi nifanye tena partition niongezee storage kwenye iyo local disk C yenye windows ?
 
Kwenye pc si una partition 2?
Wakati unataka kushusha iki pop up chagua disk hiyo nyingine yenye nafasi.
 
yeah ipo mzee, ila sasa hiyo partition iliyojaa ndio yenye windows, sasa hiyo si itazingua game kufunguka hata kama nikiieka kwny partition 2

Hapana mkuu software unainistall popote hata kwenue external/flash na inasoma fresh tu.

Mimi software zingine nachukua kwa watu tayari zimeshakuwa inistall nikifika nafungua tu kwenye external bila shida.
 
anhaa poa boss asante kwa kunitoa ushamba
Hapana mkuu software unainistall popote hata kwenue external/flash na inasoma fresh tu.

Mimi software zingine nachukua kwa watu tayari zimeshakuwa inistall nikifika nafungua tu kwenye external bila shida.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom