PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

Habari zenu wakuu

Hivi ipi ni option nzuri kwenda nayo, Desktop kwa ajili ya gaming au PS5

Kama bajeti ya Ps5 ni almost 1.5M, je kwa 1M naweza kuunda desktop itakayotoa experience zaidi ya PS5?

Natanguliza shukrani.

Cc: Chief-Mkwawa
Huwezi mkuu,

Sema utapata tu desktop nzuri.

Console za siku hizi wanapata hasara hawa kina ps na Xbox, wanauza kwa hasara halafu wanakuja kukukamata kwenye games utakaponunua.

Kwa 1M njia nyepesi ya kupata machine nzuri ni kununua Oem pc then unai upgrade, kwa kenya naona HP elitedesk 705 G5 zenye Ryzen 3600 zimeanza kuingia, around laki 4. Nafatilia psu yake kama unaweza kui upgrade, ila ni base nzuri sana kupata machine yenye nguvu sawa na Ps5.
 
Nicheki Whatsapp 0654062036
LMC_13042024_144354.Helena%20Leica-1.1%20by%20Atik.NIGHT.jpg
 
Jaman kwa specs hiz naweza kucheza fifa 23?
HP elitedesk 705 G5 SFF

AMD RYZEN 5 PRO 3400G

RAM 8GB

SSD 256GB

Processor speed 3.70 Ghz

64 bit operating system
 
Yaani inabidi uwe mzuri nawe kwenye kuscore vinginevyo utachezea sana..

L1 ndio kuprotect ball. Sasa fikiria huo mpangilio wa vidole vyako...

Sasa muda huo huo ushike R1 sprint. The unatakiwa ufanye tackling kwa x au Box.
Wakati huo huo kuna muda inakiwa ubadilishe pia mkabaji kwa L2
Bila kusahau unapaswa kutumia direction muda huo hup.

Kwenye discussion wengi sana wanalalama wanasema labda uwe na mikono mitatu.

Yaani online unachofanya ni kushindana kuscore na kutumia nafasi. Maana kuzuia ni kipengele

Upo sahihi mkuu,most of the time nakabia njia na ku switch players,mambo yakiwa mengi sana sliding tackles zinahusika
 
Upo sahihi mkuu,most of the time nakabia njia na ku switch players,mambo yakiwa mengi sana sliding tackles zinahusika
Me ukileta sliding ndio hunipati maana najua kukwepa. Zaidi utakula sana kadi. Ila kukabia njia ndio me kidogo huwa nafanya inasaidia kidogo interception. Pia unafanyà mtu akose apige wapi pasi.
 
Habari zenu wakuu

Hivi ipi ni option nzuri kwenda nayo, Desktop kwa ajili ya gaming au PS5

Kama bajeti ya Ps5 ni almost 1.5M, je kwa 1M naweza kuunda desktop itakayotoa experience zaidi ya PS5?

Natanguliza shukrani.

Cc: Chief-Mkwawa
Ps5 utakuja umia kwenye kuweka games.. bei itakuwa juu.

Bora pc unapata game kwa cheap price.
Tena kwa mil 1.5 unapata gaming pc nzuri tu.
 
Jaman kwa specs hiz naweza kucheza fifa 23?
HP elitedesk 705 G5 SFF

AMD RYZEN 5 PRO 3400G

RAM 8GB

SSD 256GB

Processor speed 3.70 Ghz

64 bit operating system
Inacheza mkuu kwa medium settings me nimecheza ni majuzi tu nilikuwa nacheza kwa pc hiyo hiyo kama yako. Kabla sijapangua mashine. Tena sio fc24 tu na game zote kubwa.
Bt ram ni muhimu iwe 16.
Maana ikibaki ram 8 zinazotumika ni 6 mbili zinaenda kwenye gpu.
 
Me ukileta sliding ndio hunipati maana najua kukwepa. Zaidi utakula sana kadi. Ila kukabia njia ndio me kidogo huwa nafanya inasaidia kidogo interception. Pia unafanyà mtu akose apige wapi pasi.

Kwa bahati nzuri sliding tackles zangu ni za kuchukua mpira sio zile offensive tackles
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom