Life starts at 45
JF-Expert Member
- Sep 22, 2015
- 1,002
- 1,004
habarini za muda huu wana forum, nilikuwa naulizia namna ya Ku unlock coin za game LA PES 2018 kwa anayefahamu anisaidie
PC ndo sina, kwa ambae ameshafanya hivo anitumie data zake nizitumieunajua kutumia cheat engine? download cheat engine kwenye pc yako kisha fungua pes lako halafu nenda unapotaka hizo coin kama ni master league au legend, angalia una coin ngapi. mfano una 8,000,000 futa zero mbili za mbele iwe 8,000,0 yaani 80,000 then ingiza hio value kwenye cheat engine search kwa kuclick new scan
ukipata result nyingi, rudi kwenye game tumia kidogo hizo coin mfano numua mchezaji hata wa 100,000 value itabadilika itakuwa 7,900,000 toa sifuri mbili mbele itabaki 79,000 ingiza tena kwenye cheat engine kisha chagua next scan utaipata value ya coin, result zitabakia chache.
right click result kisha chagua change value eka value kubwa, mfano eka 9,999,999 ili upate 999,999,900
una game la simu? huwa games za online hazichakachuliki sahau, na hata ukichakachua watakuban tuPC ndo sina, kwa ambae ameshafanya hivo anitumie data zake nizitumie
duu[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] wacha nipambane na haliuna game la simu? huwa games za online hazichakachuliki sahau, na hata ukichakachua watakuban tu