kwa wale wapenzi wa football games uwanja ni wenu karibuni sana kwenye uchangiaji wa mada ifuatayo ambayo itawahusu wale ambao wamekuwa wakicheza:-
(1)PES
(2)FIFA.
Kutokana na kucheza na kuwa na ufahamu kuhusu jambo hili tunakukaribisha utupe maoni yako. Lipi liko fresh?.unapotoa maoni ni vizuri ukataja na sababu kwa mfano mi naweza sema fifa ni nzuri kutokana na good graphics.