Personal secretary yupo hot balaa

Pascal Ndege

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2012
Posts
2,977
Reaction score
1,900
Personal secretary yupo hot ila najidai sina time nae. Najua wanawake wanahisi mapema, sijui amehisi? Ila sina tabia ya kuchapa wadada wa ofisini " shetani pita mbali" mabosi wenzangu mnafanyaje maofisini kwenu kwenye hii Hali tete? Yaani nikiingia ofisini nakuta kapiga pamba balaa!
 
duh! na wewe bosi? au bosi huko bongo muvi?
 
Nafikiri maji ya baridi yahusike hapo, ikiwezekana yatoke kabisa kwenye friji. Au atakua na homa?
 
Temperature inapimwa by touch kupitia the sense of touch, temperature ya ndani hupimwa by organ contact/insertion ya vipima joto, or huweza kupimwa by tongue kutumia taste buds, sasa jee wewe umetumia kipimo gani kati ya hivyo kulipima joto la huyo secretary ukajua yuko hot balaa?!.

Pasco
 

Saluti
 
Muite kwa ofisi yako huyu Pdidy akusaidie majibu ya fasta
 
Last edited by a moderator:

Nadhani katumia macho na masikio, huwezi jua muonekano wa huyo Secretary ni balaa kwake yeye na sauti nyororo kwa kipimo chake alichopimia kupitia masikio! hahahaha dunia hii imejaa burudani kibao.
 
Mapenzi kazini ni sumu. Mwisho wa siku mtaanza kufanyia ofisini na mkifumaniwa balaa inaanzia hapo.
 
eti ukifika ofisin unakuta kapiga pamba balaa. Kwa huyo ulitaka ukifika ofisin ukute yupo uchi?
Naona umeleta uzi ili upate support ya wadau. watakusupport tu, lakini utakapoanza kuota mapunye kwenye ngozi usije kulialia hapa
 
Weka pic yake kwanza isije ikawa kitu chenyewe chenga
 
Kama ofisi ni ya kwako usimbeto, kama umeajiriwa mbato tu wala hakuna matata niga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…