OPRAS ni boss wako anakuevaluate, huko Moro mnatrainiwa jinsi ya kuevaluate tu
Irene,
Kwanini msafiri all the way to Morogoro? Ku-trainiwa tu? Kwanini OPRAS training isiwe part of induction hapo hapo ofisini?
let us be serious! Training Morogoro: Evaluation Wizarani!
Leo asubuhi nilikuwa nikisikiliza BBC na nikavutiwa na habari moja inayohusu serikali ya Rwanda kuamua kuwafanyia tathmini watumishi wake wote ili kupima kiwango cha ufanisi wa utendaji wao.
Tathmini hiyo inafanyika katika makundi matatu ambapo watumishi watapewa maksi kama ifuatavyo..
Kundi la kwanza marks 70 - 100 (hawa wataendelea na ajira zao na kupandishwa madaraja/vyeo kama kuna sababu ya kufanya hivyo)
Kundi la Pili marks 50 - 69 (hawa wataondolewa kazini lakini wataruhusiwa kuomba upya kazi walizokuwa wakifanya na endapo watakuwa short listed watafanyiwa interview)
Kundi la tatu marks 0- 49 (hawa moja kwa moja wanatimuliwa kazi)
Nadhani tunahitaji utaratibu kama huu hapa Tanzania maana watumishi wengi wa taasisi za umma na serikali wamejiachia kiasi kwamba wanaona kama vile ofisi ni mali zao lugha chafu na majidai ya hovyo.
Hebu tujaribu hili laweza kutubadilisha na kuongeza ufanisi.....
Nawakilisha
Tanzania imjeaa nepotism kwa hiyo ni ngumu saana. Rushwa pia, watu watahonga ili wapate alama za juu. Sijui tuanziea wapi uozo wa nchi na wananchi wake
Kundi la tatu marks 0- 49 (hawa moja kwa moja wanatimuliwa kazi) [/QUOTE said:Zaidi ya asilimia 90 ya watumishi wa taasisi za umma na serikali hapa Tanzania wako kwenye kundi hili. Uozo wao ulikuwepo tangu enzi za mwalimu, kazi yao ilikuwa ni kufuja mali za umma na wakizembea huhamishwa kwenda kuharibu sehema ingine as in kulindana, huyu ni mtu wetu n.k. Mbaya zaidi ni wale wanaoitwa "Wasomi" ambao wamebandika shahada zao ukutani.
Kundi hili bado tunakumbana nalo huko TRA, Bandarini, Benki Kuu, Tanesco, Tanapa, Ngorongoro Conservation Area Authority, na karibu Wizara zote hapa nchini. Hivi sisi tunanini vichwani? Ni mpaka nchi zingine zianze ndiyo tushtuke?
Tanzania imjeaa nepotism kwa hiyo ni ngumu saana. Rushwa pia, watu watahonga ili wapate alama za juu. Sijui tuanziea wapi uozo wa nchi na wananchi wake