Perfomance rating-kipimo cha utendaji

mchemsho

JF-Expert Member
Jun 8, 2011
3,212
867
Wadau naomba tuanzishe perfomance rating ya viongozi waandamizi wa serikali kama mawaziri, makatibu wakuu, wakuu wa mikoa wilaya na zaidi sana marais ili tupime kitaaluma utendaji wao wa kazi na output yao yaani impact to all levels of citizens countrwide, mwisho wa siku tuamua kum grade kama anstahili pass or failure grade..naomba kutoa hoja.
 
Back
Top Bottom