na photographers wa aina hii ndiyo hupiga hela sana huko kwa wenzetu kwani wenzetu huko ng'ambo wanapenda sana picha za actions namna hiyo na nadhani hata hapa kwetu tanzania sasa tunao wapiga picha mahiri wa aina kama ya hao wa huko ng'ambo mfano mimi binafsi katika picha za kisiasa na masuala mengine ya kijamii huwa nazikubali mno picha za muhidin issa michuzi na katika michezo wapo wapiga picha wengi ila binafsi picha zinazopigwa na salehe ally huwa zina actions nzuri sana.
Hapo sawa, na hii jee ambapo paka jike na dume wamepozi na mikia kutengeneza umbo la moyo (love)!!! Nayo je siyo good timing??
View attachment 264124
na photographers wa aina hii ndiyo hupiga hela sana huko kwa wenzetu kwani wenzetu huko ng'ambo wanapenda sana picha za actions namna hiyo na nadhani hata hapa kwetu tanzania sasa tunao wapiga picha mahiri wa aina kama ya hao wa huko ng'ambo mfano mimi binafsi katika picha za kisiasa na masuala mengine ya kijamii huwa nazikubali mno picha za muhidin issa michuzi na katika michezo wapo wapiga picha wengi ila binafsi picha zinazopigwa na salehe ally huwa zina actions nzuri sana.

Mkuu, kuna mpiga picha maarufu wa Tanzania, kazi yake inajulikana sana nje. Anaitwa John Kiyaya. Ameandika kitabu na kupokea tuzo nyingi za upigaji picha.
John Kiyaya was born 1970 in Kasanga village, Sumbawanga, Tanzania.
His story in pursuit of his passion as a photographer known only to his subjects, the workers, fishermen and peasants of this region of Tanzania along Lake Tanganyika, brought him acclaim from international photography circles, first in Europe and then to U.S.A. He was selected at the Photographic Research Centre Boston University, top winner of the prestigious Leopold Godowsky Jr. Colour Photography Award, competing with photographers from Egypt, Ghana, Kenya, Madagascar, Mali, Mozambique, Namibia, Nigeria, Senegal, Tanzania and Zimbabwe.
View attachment 264221
pernille.typepad.com