Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 19,029
- 22,570
Ehhhhh hivyohivyo amekoma huyo anyemwonea ng'ombe wa watu na iwe fundisho kwa wengine wanowaonea wanyama wafahamu hata wanyam wana hisia pia na sio mawe.Sasa hapo na shukuru alikuwa ni ng'ombe angekuwa punda ndo angeipata fresh yake.
absolutely the truth 100%.animal cruelty mbaya sana..tunahitaji sheria bongo pia ya kuwakinga wanyama zidi ya matatizo.
Wanakuringia ww tu Mkuu, kuna neno moja la kihindi nikikufundisha ukalisema mbele yao wote wanarudi kwao siku hiyo hiyo.wahindi wanaringa hapa bongo tu ni maskini sana hawa watu hiko kwao hebu yaone hapo
hebu nipatie hata kwa pm hiyo manenoWanakuringia ww tu Mkuu, kuna neno moja la kihindi nikikufundisha ukalisema mbele yao wote wanarudi kwao siku hiyo hiyo.
nakusihi uniPM mkuu maana wanajishaua sana hapa oficini kwetu pliz pliz plizWanakuringia ww tu Mkuu, kuna neno moja la kihindi nikikufundisha ukalisema mbele yao wote wanarudi kwao siku hiyo hiyo.
na mimi pia nataka kulijua.....Wanakuringia ww tu Mkuu, kuna neno moja la kihindi nikikufundisha ukalisema mbele yao wote wanarudi kwao siku hiyo hiyo.
huyu jamaa wa mlangoni na hisi hiyo 0713 itakuwa hoi balaa...