Perfect Revenge

Perfect Revenge

Donnie Charlie

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2009
Posts
19,029
Reaction score
22,570
download1.jpg
Perfect Revenge
 
Ehhhhh hivyohivyo amekoma huyo anyemwonea ng'ombe wa watu na iwe fundisho kwa wengine wanowaonea wanyama wafahamu hata wanyam wana hisia pia na sio mawe.Sasa hapo na shukuru alikuwa ni ng'ombe angekuwa punda ndo angeipata fresh yake.
 
sometimes revenge si jambo jema sana! ndo maana kuna red card katika soka kwa anaye-revenge
 
Ehhhhh hivyohivyo amekoma huyo anyemwonea ng'ombe wa watu na iwe fundisho kwa wengine wanowaonea wanyama wafahamu hata wanyam wana hisia pia na sio mawe.Sasa hapo na shukuru alikuwa ni ng'ombe angekuwa punda ndo angeipata fresh yake.

animal cruelty mbaya sana..tunahitaji sheria bongo pia ya kuwakinga wanyama zidi ya matatizo.
 
nimeipenda sana. pia inachekesha. thanks
 
wahindi wanaringa hapa bongo tu ni maskini sana hawa watu hiko kwao hebu yaone hapo
 
Wanakuringia ww tu Mkuu, kuna neno moja la kihindi nikikufundisha ukalisema mbele yao wote wanarudi kwao siku hiyo hiyo.
 
nakusihi uniPM mkuu maana wanajishaua sana hapa oficini kwetu pliz pliz pliz
 
huyu jamaa wa mlangoni na hisi hiyo 0713 itakuwa hoi balaa...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom