Per Diem Rates 2015/2016

Per Diem Rates 2015/2016

Huu ni unyonyaji wa mchana kweupe. Kwa kazi gani watumishi wa uma wanayoifanya hadi walipane hayo mapesa mengi namna hiyo? Halafu bado mnaimba nchi ni maskini wakati kuna hili kundi la wanaotuibia pesa zetu

Hizo pesa wanazolipwa wafanyakazi kama per diem sio nyingi kama unavyozizungumzia. Ukiondoa wafanyakazi wachache sana kutokana na nature ya kazi zao na taasisi wanazozifanyia, waliobaki wengi wanakuwa nje ya mikoa wanayofanyia kazi mara chache sana. Wapo wanaopitisha hata miezi 4 hawajasafiri hata mara 1, na wakisafiri basi itakuwa siku 7 labda. Sasa kama mtu atapata ziada ya Shilingi milioni 1 mara 1 kwa miezi mitatu ndio pesa nyingi hizo?
 
Huu ni unyonyaji wa mchana kweupe. Kwa kazi gani watumishi wa uma wanayoifanya hadi walipane hayo mapesa mengi namna hiyo? Halafu bado mnaimba nchi ni maskini wakati kuna hili kundi la wanaotuibia pesa zetu

UKIAMBIWA PUMBAFU UNAANZA KULALAMIKA. SASA WAKISAFIRI KIKAZI UNATAKA WALALE NJE? NA WASINUNUE CHAI WALA CHAKULA? Huo ni ulofa wa kufikiri. Hili ndio tatizo kubwa la UKAWA.
 
perdiem maana yake kwa uelewa wangu ni kama posho apart from ur salary,wale wazee wa reseach wanafahamu

asante nilikoment nikiwa kelolo niliona kinyume ndio nimetoka kwenye burudani sasa.Asante
 
hiyo mishahara mbona midogo? mnawezaje kumudu kweli

Kumbe ww bado dogo mwanafunzi eeeh!! Hata maana ya perdiem hujui!!

Huo siyo mshahara, ni posho ya siku Moja unapokuwa umeenda safari ya kikazi nje ya ofisi!!
 
muuliza shwari tunamshauri awasiliane na wizara ya utumishi wa umma,watampa waraka huo,sisi hatuna mamlaka ya kukupa na kuutoa hadharani kwani umeandikwa "SIRI" na hauruhusiwi kuutoa katia media yoyote
 
Duuuh! Kumbe ndivyo ilivyo!
Nakushukuru sana. Lkn huu usiri huu ndo unaumiza wengine.
 
Km hujui kitu piga kimya siyo lazima kila post u_ comment mnashusha hadhi ya jukwaa Per DM huijui hta maana yake unaanza kuongea tu
 
Habari zenu waungwana.
Naomba kufahamishwa viwango vya PERDIEM kwa wafanyakazi wa Serikali kwa mwaka 2014/2015 au 2015/2016.
Natanguliza shukrani zangu.

please find attached..
 
Attachments

  • viwango- posho.PNG
    viwango- posho.PNG
    54.1 KB · Views: 708
  • viwango posho 2.PNG
    viwango posho 2.PNG
    112.7 KB · Views: 670
Back
Top Bottom