pepper spary

pepper spary

chokamb

Member
Joined
May 29, 2012
Posts
72
Reaction score
6
ndungu zangu please can anyone tell me where can i get pepper spray in dar es salaam?
 
ndungu zangu please can anyone tell me where can i get pepper spray in dar es salaam?

Hiyo ni silaha ,wewe unaihitaji kwa ajili ya kazi gani?Utaratibu wa kunmiliki silaha Tz unaujua?kama vigezo unavyo nenda otherwise pole.Hiyo kitu makampuni ya simu yanaweka kwenye minara yake iliyo maporini incase ukiingia kienyeji upate kituuu hicho.Kama unapesa south afrika zipo ,niambie unaitaka kwa ajili ya matumizi gani with evidence naweza kukupa abc.Aaah umechoshwa na vibaka au mambo ya kwenye foleni za Dar unataka wakikukosea tu uwe unawapa kitu..
 
apa bongo kupata cyo kazi bwana ni elfu 30 tu +kitambulisho chako mali ni yako,
 
apa bongo kupata cyo kazi bwana ni elfu 30 tu +kitambulisho chako mali ni yako,

Duuh,kama hayo unayosema ni ya kweli basi nchi iko hatarini,iyo kitu ukipigwa nayo huwezi fanya chocho.Kibaka akiwa nayo akikupulizia tu kila chako ni chake.Basi mambo yamebadilika kama inauzwa kirahisi hivyo.
 
Back
Top Bottom