Pep Guardiola ni mbaguzi sana, bora kastaafu

Huyu jamaa Pep Guardiola kocha mstaafu wa Man City anasifa za kibaguzi sana.

Hapendi wachezaji weusi wa kiafrika.

Yahya Toure na Samuel Etoo wameshawahi kumlalamikia sana.

Iliniuma sana kushusha kiwango cha Raheem Sterling alipokuwa Man City. Na ni yeye chanzo na kuchangia Raheem Sterling kukosa Balloon D'ior.

Anawachezesha Jeremy Doku, Guehi na Semenyo kwa shinikizo kutoka kwa wasaidizi wake hasa Kolo Toure.

Hata kuwanunua Semenyo na Guehi ilikuwa wazo na shinikizo la Kolo Toure msaidizi wake.

Bora kastaafu tu ukocha.

Senior JF local and international footbal analysist and correspondent.

mkorea hydroxo min -me

adriz de mbusii
Wa Catalunya wabaguzi sana,nna mwanangu yuko huko anaishi anapambana
Nao sana

Ova
 
Tuuache uafrika pembeni kwanz, vipi fernandinho
Tukisema anawachukia watu weusi vipi kuhusu lewandosk pale bayern au philips kelvin?

Tukumbuke ndio huyo huyo guardiola aliemchagua messi over gaucho
 
Yah anapiga kazi huko
Yah wanajiona si ndomana kuna wakat walitaka kujitenga

Ova
Kuna wakat fulani nliendaga huko sema hali hyo nlikuwa
Nishaizoea namna ya kudeal nayo maana enzi zile nko Poland na hawajaingia EU
Kuna jamaa walikuwa resist sana sema Kuna watu na madem zao walikuwa na upendo sana na blacks
Resist huwa nawaona kama niwatu wenye matatizo ya akili hata we ukiwa black ukiwachukia whites,India nk
Utakuwa na matatizo ya akili

Ova
 
Tuuache uafrika pembeni kwanz, vipi fernandinho
Tukisema anawachukia watu weusi vipi kuhusu lewandosk pale bayern au philips kelvin?

Tukumbuke ndio huyo huyo guardiola aliemchagua messi over gaucho
Wa Argentina si hao hao nao
Dawa yao ni unapo pata fursa kwao we wakazie tu
usiwaoneshe unyonge

Ova
 
Sasa Asenali tutatamba sana maana jamaa alikuwa kikwazo sana Kwa misimu ya hivi karibuni.
 
Huyu jamaa Pep Guardiola kocha mstaafu wa Man City anasifa za kibaguzi sana.

Hapendi wachezaji weusi wa kiafrika.

Yahya Toure na Samuel Etoo wameshawahi kumlalamikia sana.

Iliniuma sana kushusha kiwango cha Raheem Sterling alipokuwa Man City. Na ni yeye chanzo na kuchangia Raheem Sterling kukosa Balloon D'ior.

Anawachezesha Jeremy Doku, Guehi na Semenyo kwa shinikizo kutoka kwa wasaidizi wake hasa Kolo Toure.

Hata kuwanunua Semenyo na Guehi ilikuwa wazo na shinikizo la Kolo Toure msaidizi wake.

Bora kastaafu tu ukocha.

Senior JF local and international football analysist and correspondent.

mkorea hydroxo min -me

adriz de mbusii
Kwanini mnalilia kupendwa na kukubaliwa na wazungu. Na nyie si mzipe nguvu ligi zenu hao wazungu wakija kucheza muwabague.

Kila siku ooh balon dior zinawabagua wachezaji weusi zinapendelea wazungu. Sasa si mjitoe huko muanzishe balon dior yenu na nyie muwapendelee waafrika wenzenu. Tatizo nini?
 
Huyu jamaa Pep Guardiola kocha mstaafu wa Man City anasifa za kibaguzi sana.

Hapendi wachezaji weusi wa kiafrika.

Yahya Toure na Samuel Etoo wameshawahi kumlalamikia sana.

Iliniuma sana kushusha kiwango cha Raheem Sterling alipokuwa Man City. Na ni yeye chanzo na kuchangia Raheem Sterling kukosa Balloon D'ior.

Anawachezesha Jeremy Doku, Guehi na Semenyo kwa shinikizo kutoka kwa wasaidizi wake hasa Kolo Toure.

Hata kuwanunua Semenyo na Guehi ilikuwa wazo na shinikizo la Kolo Toure msaidizi wake.

Bora kastaafu tu ukocha.

Senior JF local and international football analysist and correspondent.

mkorea hydroxo min -me

adriz de mbusii
Inaonekana ubifu na pep toka zamani...

Stupid fish
 
Inferiority complex
 
Inaonekana ubifu na pep toka zamani...

Mkuu ni wewe tu ndio nakuambia hii siri. Mimi ndiye Bansky the elusive street artist. Please usiwaambie watu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom