Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 38,558
- 48,897
Slogan ya CDM ya peoples power, inanipa picha halisi ya hao "people" ni kina nani...maana nilijaribu kupata tafsiri yake mpaka hivi majuzi kuja kugundua kuwa...
"people" ndio hao viongozi wa chama wenyewe...
Maana:
Safari za majuu , wanakwenda wao na wake zao... hao "people" sijawaona....
Majumba ya kifahari wanajenga wao.... hao "peoples" hawaonekani katika hayo..
SO:
Movement nzima na dhana halisi ya M4C na kauli mbiu ya "peoples power" Kwa tafsiri nyingine peoples power ni "power for ourselves"
Ni kujinufaisha binafsi wao wenyewe, na si kwaajili ya ukombozi wa watanzania.....
Wakombozi pekee na ambao watabakia kua wakombozi wa watanzania ni CCM...