Mmmmh avatar yako imenitisha mkuu ngoja nikimbie nisije kuota usiku huuHapana nataka kufanya comparison between two institutions ambazo mdogo wangu amepata kazi
Lumumba mnalipwa bei gani?Pale hakuna hela PBZ wanalipwa laki 4 ni sawa na Access na Amana Bank
Mishahara midogo sana. Bora kubeba boksiPale hakuna hela PBZ wanalipwa laki 4 ni sawa na Access na Amana Bank
Nina washikaji zangu wengiMishahara midogo sana. Bora kubeba boksi
Lumumba ni Bank?Lumumba mnalipwa bei gani?
Ni kijiwe cha wahuni ila wanalipana posho za wizi wizi na magam magamLumumba ni Bank?
Maisha yako chini Zanzibar zinatosha usimlinganishe Na huko kwakoMishahara midogo sana. Bora kubeba boksi
Usiangalie mshahara tu kuna miposho pia.Unakuta mshahara mdogo posho kibao nyumba bure ,unapewa gari la ofisi posho ya mafuta ya gari nk . Safari za nje kibao,nkNina washikaji zangu wengi
TPB wanalipwa 925,000 starting kwa bachelor
NMB 918,000
CRDB ndo afadhali ni 1,025,000
EQUITY BANK Ni 968,000 bachelor
Ila waliobaki ni hovyo sana
Access 400,000
PBZ NI 400,000
Hatari
Tuombe msamahaNi kijiwe cha wahuni ila wanalipana posho za wizi wizi na magam magam
Izo benefits sio kwa level ya mshahara huo, hapo ukiongezewa sana ni bonus kulingana na performance yakoUsiangalie mshahara tu kuna miposho pia.Unakuta mshahara mdogo posho kibao nyumba bure ,unapewa gari la ofisi posho ya mafuta ya gari nk . Safari za nje kibao,nk
We jamaa sijui hata kama umewahi kuajiriwa wewe?Usiangalie mshahara tu kuna miposho pia.Unakuta mshahara mdogo posho kibao nyumba bure ,unapewa gari la ofisi posho ya mafuta ya gari nk . Safari za nje kibao,nk
Kwani ni siri? Mbona watanzania wote wanajua jinsi kodi zao mnavyozifaidi kijinga kabisaTuombe msamaha
Wao wanapewa safari za nje mkuu. Mwenzake anaebishana nae katoka Thailand juzi jioni.We jamaa sijui hata kama umewahi kuajiriwa wewe?
Entry level position hizo benefits zinatoka wapi?eti safari za nje teh teh
Endelea kula buku 7 hapo lumumba.
Teh teh aisee,sijui per diem yako ni usd ngapi arifu.Wao wanapewa safari za nje mkuu. Mwenzake anaebishana nae katoka Thailand juzi jioni.
Mimi ni jobless jombaa hizo per diem nasikiaga tuTeh teh aisee,sijui per diem yako ni usd ngapi arifu.