People are wonderful!

Hapa inabidi utulie kwanza ndio utaelewa!
....
People are so creative!

 
Tulia kwanza!

Ukiharakisha unatoka kapa!

 
Picha fulani amazing Excel....
 
Last edited by a moderator:
Mkuu ngoja nijaribu, hiyo ni edited photograph ambayo ina picha 3 ndani yake. 1. ni hio ya ufukweni (ambayo ndio picha halisi) 2. ni hizo bendera na 3. ni huyo dada anaeongea kwenye mic. Kwaiho picha 2&3 zimeongezewa kwenye picha no 1. Cc Excel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…