MwanawaMUNGU41
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 1,036
- 737
Ndoto hii ilikiwa the best kati ya ndoto zoote nilizowahi kuota,alikuwa na true love,siyo kwa kunipet pet kule,nikajihisi niko akhera,mara nastuka najikuta bado napaswa kudeal na wa bongoo wazee wa minyoosho na kucheat!! Chozi linanitoka, sitaisahau ndoto ile!!