What's the relevance of this cowshit?
Aiseeh! ............ Chaggabarbie
Wee nae, kaedit basi ufute sred nzima ulokopi, unatuchosha tunaotumia mchina.
Duh!Mapenzi ya instagram pesha tupu!
Prez angekua amemla tgo na kumrekodi, tusingeona huu upuuzi.
Tgo ni security tosha.
mwanamke mwenye akili timamu hawezi kudate na huyo Prezoo hata siku moja, wamekutana vichwa maji, mapenzi ya kipumbavuu kabisa haya, hakuna mwenye ubongo hata mmoja wao, nini kudhalilishana hivi sasa? na mwanamke ndio inakula kwake na hayo matusi sijui anajitambua huyu au na yeye alivuta ganja alivyokuwa ana post huo upuuzi?