Penzi la Najma na Barack the Prince limefikia wapi?

Penzi la Najma na Barack the Prince limefikia wapi?

Jamaaa fala sana hili.... Akili halina lina bahati ya kupendwa na Mwanamke mzuri... Hadi naonaga wivu
Mwenye taarifa zaid atujuze, hii couple sjui imepotelea wap, wakat fulan ilitukimbiza sana mtaani.....Ghafla bin vuu Barcka ze prince kafuta post zote instagram, Najma nae kafuta Picha zote akiwa na Baracka, mlioko mtaa wa pili tupeni ripoti kamili.....

images
 
Bado young killer hujamuweka hapo
Young killer ana mashavu huwez linganisha na Baracka, WCB wanambeba sana, usku wa eid anakinukisha na Rayvanny Dar live, amepiga show na WCB mpak akatengeneza na Studio,
yupo peace sana na presenters ndo mana kwenye uhamasishaj wa bidhaa za makampuni huwa wanaenda naye....
Mjin bila connection hauend, Baracka alitengeneza mabifu na watu wenye nguvu kwenye sanaa yake, kusurvive ni ngumu sana
 
Hiyo issue ya jicho ikoje
Dem alifunguka live kuwa jamaa hataki mla ndgo au

Ova
Jicho ndo tigo? Bac kama ni hivyo itakuwa baracka ana wazao sana, mziki wenyewe miyeyusho ukija kwa demu ndo hvo tena ,
 
Back
Top Bottom