Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,819
- 40,602
Hili nililisikia muda kidogo kuwa mshikaji anapiga show bar hata kwa buku 20.
Ile ilikua bosheni tu. Siku hz kafulia anapiga show kwenye baa wanazouza kibuku manzese