Penzi la Najma na Barack the Prince limefikia wapi?

Penzi la Najma na Barack the Prince limefikia wapi?

Tatizo ma-celebrity wa kibongo wanashobokea mademu wa kiarabu wakati hela za mawazo. Muarabu siku zote anamuona mtu mweusi ka nyani tu (pamoja na pesa zako)
Sio kweli mkuu mapenzi hayapo Ivo kbsa,
Labda ukiforce,but mkipendana hakuna kitu Kama iko ,Tena wako poa kbsa.
 
Omera kafulia najma naye kazeeka
 
Back
Top Bottom