Penzi la huyu dada linanitia kiwewe

Mkuu angalia usije ukajisahau kwa mchepuko wanao ukawasahau wakose mahitaji muhimu
 

FYI mkeo ameshajua uhusiano wenu and she is hunting that single mom of yours vibaya mno! Akimkamata tu amekwisha hahhaaa! Kidding
 
kazi ipo mkuu,huu nao ni mtihani mwingine ambao cjawahi kuuombea tangu kuzaliwa.kutoa mimba mkuu dah,cjui nianzie wapi,ikitokea akafariki si ndo nitakuwa haunted maisha yangu yote?na mungu je?

kutoa mimba usijaribu kabisa inawezekana ukazaa professor fulani hivi.acha mbaya hiyo.
 
Pole sana
Siwezi kukucheka...manake sina ndoa stable wala sijaoa
Ila Mungu akuongoze ufike hitimisho
 

nauchukua ushauri wako kwa asilimia mia moja,asante sana bro
 

thanx mkuu
 

asante mkuu,nauchukua ushauri wako kama ulivyo
 

Dawa yako ni picha ya KIBONDE
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…