Kozo Okamoto
JF-Expert Member
- Oct 14, 2013
- 3,391
- 1,546
maisha haya... mhh
Unaomba leseni ya kuchepuka JF??
kwikwikwikwi
Mpotezee kuwa bize na mkeo angalia watoto wako utamsahau naye atapata single man wake
siombi leseni ya kuchepuka mkuu hapa jukwaani koz nishachepuka tayari,u know as a man,at a time T and a place P kuna situations ambazo mtu una meet na zinatatiza.every man has met a situation of his own,if not yesterday then 2moro,cha msingi ni ku share ideas tu how to come out of such situations
Mfyuuuuuuuuuuu. ........
Anyway, nitarudi
nimekusoma mkuu, lakini ulichoandika hakieleweki unataka ushauri gani...
ukiambiwa acha utasema yeye ni mchepuko wenye heshima na amekubali kuwa second wife; ukiambiwa endelea utasema unampenda mkeo na wanao
to me, it was more of FYI than anything else
Ndio maana nchi haiendelei kwa laana za kuwa na kima Kama nyinyi mnaowaza upuuzi kila wakati ...
Peleka Uzi wako kule MMU utawapata watu Wa type yako hapa si mahala pake punguani wahed!!!
dah mapunguani tuko wengi kweli,kama wewe siyo mmoja wao huku umekuja kufanya nini?asante punguani mwenzangu kwa kuja kuniona
Ndio maana nchi haiendelei kwa laana za kuwa na kima Kama nyinyi mnaowaza upuuzi kila wakati ...
Peleka Uzi wako kule MMU utawapata watu Wa type yako hapa si mahala pake punguani wahed!!!
nashukuru mkuu,kuna tatizo lingine hapa ambalo nashindwa nilisolve vipi,ana ujauzito tayari wa miezi 2 sasa.
Hili jukwaa unajua maudhui yake? Peleka MMU kama utaniona mnaacha kuwaza vitu vya msingi kutwa kuzungumzia ujinga badilikeni mnakera bwanaa.
Ujauzito wako?.....
yeah.........
Mmmmh mbona mtihani huu kiufupi ndio kashakuganda huyo....
Vipi moyo wako unasemaje kwani?