Penzi la house girl

kama hauna mke mwache yeye acheze hiyo beki tatu na wewe panda winga 11. Nakwambia hatoki mtu lazima ushindi uwe upande wenu tu. Yote haya kama huna mke
 
Mpilipili bado haujajibu if you get marriage or not? mostly sisi wanaume tuna matatzo sana, house gal kaja kufanya kazi wewe unamlaghai mtoto wa watu, unamchezea then unamuacha, kama ujajua madhara ya kufanya mapenz na house gal subili utaona mwisho wake nn.
 
Last edited by a moderator:
Kul tunda mkuu jivinjari,mtu umlipe mshahara mwenyewe halafu aliwe na waendesha boda boda au walinzi,kula tunda mi mwenyewe kuna kahouse girly kapya wife kakaleta kananivutia lazima nitakachinja soon

Balaaaaaa....mkuu wewe ni mfuasi mzuri wa methali "fimbo ya mbali...."
 
Kul tunda mkuu jivinjari,mtu umlipe mshahara mwenyewe halafu aliwe na waendesha boda boda au walinzi,kula tunda mi mwenyewe kuna kahouse girly kapya wife kakaleta kananivutia lazima nitakachinja soon
Hahahahaah!! Acha hizo wewe mwisho mtakuja kutafuna hadi binti yako kwa sababu kama hizo unazohalalisha kwa housegirl.
 
Wana JF naomba msaada/ushauri. Nimefall in love na house girl wangu (beki tatu), kila nikiweka maazimio ya kuachana nae nashindwa. Na kwasasa nimenogewa hasa. Tumepima na wote ni wazima kiafya. Naombeni ushauri, nitafanyaje ili niweze kuachana nae?

"Tumepima na wote ni wazima kiafya..." hapo ndipo pananifanya niamini huna mpango wa kuachana naye, maana uliponogewa ukaamua upime ili kifuatacho ITV iwe ni matangazo ya biashara
 
Wana JF naomba msaada/ushauri. Nimefall in love na house girl wangu (beki tatu), kila nikiweka maazimio ya kuachana nae nashindwa. Na kwasasa nimenogewa hasa. Tumepima na wote ni wazima kiafya. Naombeni ushauri, nitafanyaje ili niweze kuachana nae?

Una mke? kama hauna basi muhalalishe usimwache au una kizuizi kingine zaidi ya kuwa kama housegirl?
 
hwa mahousegirl watatuua mwaka huu..just imagine anaenda na mumeo kupima kabisa ili wajihalalishie...si mama mwenye nyumba atapewa sumu hapo jamani?...huu mwaka hautaisha bila huyo mama kufa nakwambia..
hapo sasa wanaotuua ni waume siyo mahousegirl. wewe unadhani huyo hg alimwambia mume wakapime au mume ndo alimwambia hg wakapime? siku yoyote nitakapomkuta husbanda kafaa kwa hg lawama itakuwa kwa mume, mpaka niprove otherwise
 
dah iyo noma chaliii angu, mambo hayo inafaa mashuti ya mbali otherwise unaanzisha ligi ambayo itakutoa manundu
 
Wana JF naomba msaada/ushauri. Nimefall in love na house girl wangu (beki tatu), kila nikiweka maazimio ya kuachana nae nashindwa. Na kwasasa nimenogewa hasa. Tumepima na wote ni wazima kiafya. Naombeni ushauri, nitafanyaje ili niweze kuachana nae?
hao ma-beki 3 huwaga ni cha wote kuwa makini sana na afya yako mdau, bado taifa letu ni changa linakuhitaji, usije ua mkeo mkaacha watoto mayatima..yani hao mabek 3 huwaga wa wanapigwa vya fasta huko kwa uchochoro..take care ktk harakati zako za simba muwindaji..haidhuru sana..hiyo kitu kweli ni tamu na kila mtu aitaka, ila adabu kidogo iwepo ktk kuifaudu..teh teh teh..
 
Sikupi pole kwakumpenda H/G nakupa pole kwakumdhalilisha mkeo Kama unae, ivi ingekua mkeo kampenda H/B ungejisikiaje? Au kimepungua nn kwa mkeo ambacho kwa H/G unapata ?
 
Back
Top Bottom