Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 17,816
- 33,489
Hahahhhh si ndio maan tunakaa chini tunaulizan back ground zetu na each and everything ukirdhika unakubaliana kuw nae
Hapo kwenye mashemeji unatufunga kamba. Shemeji nampeleka moto kama wote. Hata binamu nampelekea moto vilevile. Jamani mtu ambae ni laana ni Dada yako na mama yako tu wengine wote moto unawahusu. Biblia zenyewe zinaonyesha jamaa walivokula watoto wa ndugu zaoMkuu hii ni story kutoka kwny pilika za maisha tu, mm siwezi abadan asilani kufany dhahama hyo na sio dada wa damu tu hta mdogo au dada wa mke/mpenzi wang siwez kumgegeda wallah tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
Walikosea sana kuwatenganisha.Mmoja alisema laana kubwa, lkn jamaa akasema kuwa kuna mdada mmoja alikujakuambiwa siku moja kuwa mume wake ni kaka yake wa damu lkn ameshazaa nae watoto watatu ikabid tambiko lifanywe na wakatenganishwa ila walikaaa wakatafutiwa wachumba ila ilikuw kaz bure maan bibie alikuw akipanda gari kufuata mtekenyo wa kakaake na akifka anaitendea haki kuliko akiwa kwa mumewe mpya.
Sent using Jamii Forums mobile app
kwani biblia inasemaje katika hilo???
Jibu la mdau,
Ndio ubaya wa story za kutunga....mara nyingi zinaishia hewani pasipo na majibu ya maswali yatakayo ibuka....kama Mungu ndiye aliyeumba watu basi angeumba wanawake na wanaume wakutosha ili wasizalishane ndugu kwa ndugu.....na kama aliruhusu ndugu kuzaliana, kwa nini akataze sasa hivi???
https://www.jamiiforums.com/threads...-hawa-je-wake-zao-ni-kizazi-cha-nani.1116005/
Mkuu hii ni story kutoka kwny pilika za maisha tu, mm siwezi abadan asilani kufany dhahama hyo na sio dada wa damu tu hta mdogo au dada wa mke/mpenzi wang siwez kumgegeda wallah tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahhhhh wewe unasema hvokuu, lkn kwng mim aisee ni ngumu sana labda kuwepo na mazingira fln magumu sana yasiyoepukika kiukweli ndio inaweza kutokea nikampelekea moto shemeji yng lkn sio mimi nianzishe kumtaka yey nimpapue hamna mkuuHapo kwenye mashemeji unatufunga kamba. Shemeji nampeleka moto kama wote. Hata binamu nampelekea moto vilevile. Jamani mtu ambae ni laana ni Dada yako na mama yako tu wengine wote moto unawahusu. Biblia zenyewe zinaonyesha jamaa walivokula watoto wa ndugu zao
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapo kwenye mashemeji unatufunga kamba. Shemeji nampeleka moto kama wote. Hata binamu nampelekea moto vilevile. Jamani mtu ambae ni laana ni Dada yako na mama yako tu wengine wote moto unawahusu. Biblia zenyewe zinaonyesha jamaa walivokula watoto wa ndugu zao
Sent using Jamii Forums mobile app
Astaghfirullah! sijui maana ya hili neno lakini nimetafuta cha kukomenti nimekosa nadhani hili neno linafaa sana hapa ila kwa nyongeza nijulishe maana yake nilitumie tena siku nyingine nimapokutana na mambo ya ajab kama haya
Hapo kwa mdogo wa mke tengua kauli kwa kuwa anafaa ila inategemeana na mazingira
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ndo Jf bana, mkuu umemaliza.. [emoji1]
evartAstaghfirullah! sijui maana ya hili neno lakini nimetafuta cha kukomenti nimekosa nadhani hili neno linafaa sana hapa ila kwa nyongeza nijulishe maana yake nilitumie tena siku nyingine nimapokutana na mambo ya ajab kama haya
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nawaburuzaga tuWakuu habari?
Leo kwny gari moja hv kulianzishwa mjadala lkn aliyeanzsha nahs aliona mazingira yanaruhusu maan kiukwel mazimgira ya safari yaliruhusu umri wa wasafiri sasa kama utani tu jamaa akasema kiukweli yeye kuna siku aliwahi kupatwa na tatzo la kupendwa na dada yake wa kuzaliwa waliopshana kunyonya ziwa la mama yan kila akijtahid kumuepuka akawa anashindwa kutoka dada anamzid ujanja na ushawishi lkn alikuja kuokoka pale dada mtu alipopangiwa chuo chabali na kuondoka hom lkn bado aliendelea kumshawishi kupitia mawasiliano akimuambia yan Nakupenda zaid ya unavyofikiria.
Sasa kichekesho kikaja kwenye majadiliano watu waliongea mengi ila kuna mmoja aliyenifuarahisha akasema kiukweli ukiona kaka/dada yako wa toka nkutoke anakupenda na anataka ale mzigo basi ujue hyo sio dama ya baba yko ila mama alichepuka kiaina maan haiwezekan kwa dada au kaka wa du kupeana utamu.
Naomba kujua kutoka kwenu inawezekana kwa Dada au Kaka wa damu kupelekeana moto kama wapenzi kabisa??
Nawasilisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahhhhh hataree faya.[emoji23][emoji23]Umenikumbusha movie moja brother fucker