Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,108
Wakuu naomba kuuliza penzi jipya huwa lina expire baada ya muda gani?yaani yale mapenzi moto moto,maana nina mpenzi tupo mwaka wa pili sasa lkn tunapendana kama vile tumekutana jana!tunaonana sana,tunachati sana na tunatoka sana siku za weekend kumaanisha kwamba ingekuwa ni rahisi kuchokana !
Au sangoma kahusika hapa!!?
Au sangoma kahusika hapa!!?