Penzi jipya

Penzi jipya

Wakuu naomba kuuliza penzi jipya huwa lina expire baada ya muda gani?yaani yale mapenzi moto moto,maana nina mpenzi tupo mwaka wa pili sasa lkn tunapendana kama vile tumekutana jana!tunaonana sana,tunachati sana na tunatoka sana siku za weekend kumaanisha kwamba ingekuwa ni rahisi kuchokana !
Au sangoma kahusika hapa!!?
Muoane tu kama unataka kuchokana
 
You really should enjoy while it lasts.
 
Wakuu naomba kuuliza penzi jipya huwa lina expire baada ya muda gani?yaani yale mapenzi moto moto,maana nina mpenzi tupo mwaka wa pili sasa lkn tunapendana kama vile tumekutana jana!tunaonana sana,tunachati sana na tunatoka sana siku za weekend kumaanisha kwamba ingekuwa ni rahisi kuchokana !
Au sangoma kahusika hapa!!?

Akikuzalia watoto japo wawili au watatu.

Taratibu mbinchi na mbivu huanza kubainika vema bila changa.
 
Huwa utamu huisha anapoogezeka mtu wa 3 tu! A.k.a Third Party 😁😁😁
 
M NASUBIRI TU SIKU UTAKAYO KUJA KUOMBA USHAURI BAADA YA KUACHWA 😂😂😂
 
Wakuu naomba kuuliza penzi jipya huwa lina expire baada ya muda gani?yaani yale mapenzi moto moto,maana nina mpenzi tupo mwaka wa pili sasa lkn tunapendana kama vile tumekutana jana!tunaonana sana,tunachati sana na tunatoka sana siku za weekend kumaanisha kwamba ingekuwa ni rahisi kuchokana !
Au sangoma kahusika hapa!!?
Ishi naye ndiyo utajua anavyokupenda unadhani kumjua mtu ni muda mfupi hivyo, ishi utamfahamu vizuri sana.
 
Back
Top Bottom