Wadau,
Leo nilikuwa safarini basi kuna dada akikaa peke yake, baadae njiani anapanda mwanaume mmoja, jamaa akaanza kurusha mistari demu full ma tabasamu etc mwisho wakabadilishana namba. Mjuzi wa mambo nikikumbuka mbali penzi jipya. Si ajabu baadae sana kila moja akimwona mwenzake atatamani abadili njia.
Kumbuka swaga zako kwenye penzi jipya.
NB. Usichangie uzi huu kumbuka tu halafu angalia mapenzi ilivyo taasisi kubwa