Heisenberg
JF-Expert Member
- Apr 26, 2017
- 1,688
- 2,981
- Thread starter
- #61
Nafuatilia kwa ukaribu hili sakata. Muda si mrefu nitawachangisha michango ya harusi
Rafiki yangu na mume wake walikutana kwa style kama hiyo yako.
Nao walikua wanakaa compound moja yakaanza ya kupikikiana mara kulala kwa huyu. Kodi zao zilivyoisha wakatafuta nyumba kubwa kidogo waishi wote.
Mpaka sasa ndoa yao ina mwaka mmoja na mtoto wa pili yuko njiani sasa wanaishi kwenye nyumba yao Bunju.
Na wewe mkuu kama umeona kuna dalili njema hapo komaa huwezi jua ndio mkeo Mungu aliekuandalia


