Penzi Huchipua kama Uyoga

Penzi Huchipua kama Uyoga

umenikumbusha mbali sana
Huo ndio uanaume , baada ya kuacha kuharibu mchumba wa mtu inayokaribia ndoa, uzuri huyo hajakuambia ni mchumba wa Mtu kwa hiyo sio kosa lako Kama na yeye atakuwa na mchumba wake na hakukuambia .....hahahahahaha jokes tum
 
Formalities zinaharibu sana mahusiano. BF na GF wanaweza wakawa wanapendana sana. Kila wakati nafasi inapowaruhusu wanataka kuwa pamoja kwa raha zao.

Wakishafanya formalities tu za kuvalidate mahusiano yao ndiyo matatizo yanaanza.

Being in love.... Been there done that...

Nishawahi kuwa kwenye mapenzi kimzaha mzaha ila hatukutaka kuanza ile formal maana ina vikwazo. Tuliishia kuinjoi mahusiano hadi yalipokatika na kuisha, sababu kama hao wakianza tuu mmoja arudishe nyumba ili waishi nyumba moja itaanza nani auze makochi yake nani TV yake ihamie chumbani ya nani ibaki sebleni..... Ndugu zangu wakija mbona unajificha huwakaribishi hunitambulishi kwa wageni wako like kugandana mgongoni.

Life is to live the moment, ila hakuna kitu sikipendi kama kujikuta mahusiano yanakatika sababu ya formalities.....
 
Friends with Benefits.. Kufall in love sasa ikitokea katika hiyo safari ndo inaweza imaliza urafiki wenu au mkaingia katika historia ya mahusiano
 
Mapenzi ni kitu cha Ajabu sana. Mapenzi yaweza kumea mahala popote bila kujali lolote.

Compaund ambayo nakaa ina Nyumba 4 zote ni za kupangisha. Tumepanga watu tofauti kila mmoja na shughuli yake kama unavyojua mambo ya mjini.

Jirani yangu kuna Dada anakaa. Ila sina mazoea nae. Zaidi ya kusalimiana tuu na vile mini sio mtu wa kukaa sana nyumbani hivyo huwa hatuonani sana.

Last week night moja nilisikia mlango wangu unagongwa mida ya saa 3 usiku. Nilikuwa jikoni nakaangiza kidogo nile. Alikuwa huyo jirani mrembo. Mkononi alikuwa Ameshi Ki Remote cha mita ya LUKU.

Nikamkaribisha akaingia Sebuleni kisha nikamwita hadi jiko. Nika mkaribisha, tukasalimiana, akaniambia umeme kwake umeisha hivyo amekuja kwangu ili aweze kuingiza. Nikamwambia endelea. Akawa yupo kwenye Extension ya TV anaweka luku yake.

Nikapunguza moto jikoni nikamfuata nikamsaidia akafanikiwa.

Nikaongea ki utani tuu kwamba chakula kipo tayari aje kula, akasema ana njaa lakini anajisikia uvivu kupika ndo kwanza anafika nyumbani ngoja akaoge kwanza.

Akaenda akaoga. Baada ya nusu saa hivi akawa amekuja na Track suit yake basi nikamkaribisha tukawa tunakula Ugali, Mayai na matunda. Tumekula tukawa tunapiga story za kawaida, nikamuomba na mm nikaoge kwanza nikaoga tukawa tupo Sebuleni tunachek mechi ya Afcon

Mida ya saa 6 hivi akawa anataka kulala, nikamwambie nikusindikize kwako basi for first time ndo naingia kwake, nikapiga porojo mbili tatu nikamuuliza nakuagaje sasa.?? Akasema vyovyote. Basi nikamkumbatia akawa kafumba macho akasema asante nikaondoka.

Nikaingia ndani nikalala. Mida ya saa 8 hivi nasikia Geti linagongwa, nikasogea nikauliza we nani? ( Mimi jakiiiii) basi nikafungua mlango nikamuuliza vipi mbona usiku vipi?

Akasema unajua sina namba yako ya simu,? Nikamuuliza ndo usiku huu sasa mbona hukusena saa ile. Nikaona dalili fulani sizielewi. Basi nikafungua Geti akaingia. Tukaelekea chumbani tukalala

Asubuhi akaamka akaenda kwake. Akajiandaa akaenda kwenye mishe zake.

Sasa hivi ndo umekuwa mchezo. Hakuna siku nalala peke yangu. Tunaamua tu tulale wapi. Tukipika kwangu tunalala kwangu. Tukipika kwake tunalala hapo hapo.

Design sasa amekuwa kama mke. Japo kila mtu ana maisha yake
hongera mkuu kwa kujiopolea kifaa
 
Formalities zinaharibu sana mahusiano. BF na GF wanaweza wakawa wanapendana sana. Kila wakati nafasi inapowaruhusu wanataka kuwa pamoja kwa raha zao.

Wakishafanya formalities tu za kuvalidate mahusiano yao ndiyo matatizo yanaanza.

Sijui ni nature au ni nini.....

Yaani kuna mtu unampenda na hutaki kufikiria kumpoteza.... Ila formalities.... Atakuja binamu akwambie huyu nilisoma nae enzi tuko chuo alikuwa anagawa kama pipi, au alikuwa cha pombe tilalila....

Mara atakuja dada yako akwambie.... Huyu ndo mume unayetaka kuishi nae.... Alishawahi kutoka na dada mmoja huyo kaka hi Marioo hatari halafu mchoyo na msiri, anajenga kwao anasomesha ndugu zake wewe anakwambia hana.....

Huwa najiuliza, can't two people fleek and have their own intimacy withoutbwing interfered by relatives and society...?? Unless mtu amtahadharishe ndugu yake au rafiki Kuwa huyo jamaa ana ukichaa flani wanawake wake wote wa nyuma aliwaua bila kukusudia....

Au amwambie huyo mtu sio, anapenda ugomvi for no good reason..... That's another case.
 
Mapenzi ni kitu cha kupita. It cant last

Ila nachokiona hapo, endapo bibie akiupenda mkuyenge wako wallah utajikuta mnarudisha nyumba moja
 
Naona kuna mwisho mchungu hapa.. Mungu akusidie. Chukua tahadhali mpema..
 
Mapenzi ni kitu cha Ajabu sana. Mapenzi yaweza kumea mahala popote bila kujali lolote.

Compaund ambayo nakaa ina Nyumba 4 zote ni za kupangisha. Tumepanga watu tofauti kila mmoja na shughuli yake kama unavyojua mambo ya mjini.

Jirani yangu kuna Dada anakaa. Ila sina mazoea nae. Zaidi ya kusalimiana tuu na vile mini sio mtu wa kukaa sana nyumbani hivyo huwa hatuonani sana.

Last week night moja nilisikia mlango wangu unagongwa mida ya saa 3 usiku. Nilikuwa jikoni nakaangiza kidogo nile. Alikuwa huyo jirani mrembo. Mkononi alikuwa Ameshi Ki Remote cha mita ya LUKU.

Nikamkaribisha akaingia Sebuleni kisha nikamwita hadi jiko. Nika mkaribisha, tukasalimiana, akaniambia umeme kwake umeisha hivyo amekuja kwangu ili aweze kuingiza. Nikamwambia endelea. Akawa yupo kwenye Extension ya TV anaweka luku yake.

Nikapunguza moto jikoni nikamfuata nikamsaidia akafanikiwa.

Nikaongea ki utani tuu kwamba chakula kipo tayari aje kula, akasema ana njaa lakini anajisikia uvivu kupika ndo kwanza anafika nyumbani ngoja akaoge kwanza.

Akaenda akaoga. Baada ya nusu saa hivi akawa amekuja na Track suit yake basi nikamkaribisha tukawa tunakula Ugali, Mayai na matunda. Tumekula tukawa tunapiga story za kawaida, nikamuomba na mm nikaoge kwanza nikaoga tukawa tupo Sebuleni tunachek mechi ya Afcon

Mida ya saa 6 hivi akawa anataka kulala, nikamwambie nikusindikize kwako basi for first time ndo naingia kwake, nikapiga porojo mbili tatu nikamuuliza nakuagaje sasa.?? Akasema vyovyote. Basi nikamkumbatia akawa kafumba macho akasema asante nikaondoka.

Nikaingia ndani nikalala. Mida ya saa 8 hivi nasikia Geti linagongwa, nikasogea nikauliza we nani? ( Mimi jakiiiii) basi nikafungua mlango nikamuuliza vipi mbona usiku vipi?

Akasema unajua sina namba yako ya simu,? Nikamuuliza ndo usiku huu sasa mbona hukusena saa ile. Nikaona dalili fulani sizielewi. Basi nikafungua Geti akaingia. Tukaelekea chumbani tukalala

Asubuhi akaamka akaenda kwake. Akajiandaa akaenda kwenye mishe zake.

Sasa hivi ndo umekuwa mchezo. Hakuna siku nalala peke yangu. Tunaamua tu tulale wapi. Tukipika kwangu tunalala kwangu. Tukipika kwake tunalala hapo hapo.

Design sasa amekuwa kama mke. Japo kila mtu ana maisha yake
Jackie namjua mkuu ni Malaya mzoefu sana Hadi mm amenipaga
 
Back
Top Bottom