Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,682
- 45,597
Dadi-oooo 😊Umejua kunifurahisha
Dadi-oooo 😊Umejua kunifurahisha
Ohoo we sema hivyo sema si mabaharia huwa hatuangushaniHana lolote
Dadi-oooo![]()
Niliyeitwa laana, nimefanyika Baraka

Hallelujah.Dadi-oooo![]()
Mkorea anaimba kibongo tembea uyaone.Niliyeitwa laana, nimefanyika Baraka
Niliyeonekana sifai, umenjheshimisha
Umenipa sababu ya kujidaiii na kukutukuzaa baba umejua kunifurahisha![]()
Oooyyyyooooo 🎶🎶umenijibu kwa wakatiii nisio dhani,.babaa nitakusifu miilelee🎶🎶Niliyeitwa laana, nimefanyika Baraka
Niliyeonekana sifai, umenjheshimisha
Umenipa sababu ya kujidaiii na kukutukuzaa baba umejua kunifurahisha![]()




Daah mzee hii nyota ni balaaa
Mkuu tunasafiria nyota moja kama wewe, uyu dada simu yake iliharibika akaja kwangu kuniazima yangu awasiliane na mtu nikampatia akawasiliana then akanirudishia nikiwa nmeshaanza kupika nkamkaribisha asubiri chakula, akakarbia ndani ghafla akaniambia sio vzr napika nayeye yupo ata kama n mgeni akaomba nimuachie jiko na nkafanya hvyo. Alipomaliza kupika tukala baada ya hapo sijui n nn kilitukumba tukawa kwenye mahaba mazito na ndio ishakua mazoea na hatufatilian kwa lolote mtoto mzuri kweli ad nafikiria niweke usiriaz kwake
@kasie kama you like the guy kwann usikilize maneno ya watu wengine?Sijui ni nature au ni nini.....
Yaani kuna mtu unampenda na hutaki kufikiria kumpoteza.... Ila formalities.... Atakuja binamu akwambie huyu nilisoma nae enzi tuko chuo alikuwa anagawa kama pipi, au alikuwa cha pombe tilalila....
Mara atakuja dada yako akwambie.... Huyu ndo mume unayetaka kuishi nae.... Alishawahi kutoka na dada mmoja huyo kaka hi Marioo hatari halafu mchoyo na msiri, anajenga kwao anasomesha ndugu zake wewe anakwambia hana.....
Huwa najiuliza, can't two people fleek and have their own intimacy withoutbwing interfered by relatives and society...?? Unless mtu amtahadharishe ndugu yake au rafiki Kuwa huyo jamaa ana ukichaa flani wanawake wake wote wa nyuma aliwaua bila kukusudia....
Au amwambie huyo mtu sio, anapenda ugomvi for no good reason..... That's another case.
@kasie kama you like the guy kwann usikilize maneno ya watu wengine?
Nashindwaga elewa why watu wanasikiliza maoni ya wengine! Me nimpaka nimshindwe mwenyewe na sio kwa maneno ya watu!
Daah mzee hii nyota ni balaaa

maisha n kuyafurahia ila me nshaanza kufall mazima nataka nmtoe huko alipo awe wangu kabisa sijui itakuaje au niendelee kula hivi hivi.?JackiiijjiUna msala kaka
Huyo manzi namjua atii sad
Jackie namjua mkuu ni Malaya mzoefu sana Hadi mm amenipaga
Mlipima?