Penzi Huchipua kama Uyoga

Penzi Huchipua kama Uyoga

Heisenberg

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2017
Posts
1,688
Reaction score
2,981
Mapenzi ni kitu cha Ajabu sana. Mapenzi yaweza kumea mahala popote bila kujali lolote.

Compaund ambayo nakaa ina Nyumba 4 zote ni za kupangisha. Tumepanga watu tofauti kila mmoja na shughuli yake kama unavyojua mambo ya mjini.

Jirani yangu kuna Dada anakaa. Ila sina mazoea nae. Zaidi ya kusalimiana tuu na vile mini sio mtu wa kukaa sana nyumbani hivyo huwa hatuonani sana.

Last week night moja nilisikia mlango wangu unagongwa mida ya saa 3 usiku. Nilikuwa jikoni nakaangiza kidogo nile. Alikuwa huyo jirani mrembo. Mkononi alikuwa Ameshi Ki Remote cha mita ya LUKU.

Nikamkaribisha akaingia Sebuleni kisha nikamwita hadi jiko. Nika mkaribisha, tukasalimiana, akaniambia umeme kwake umeisha hivyo amekuja kwangu ili aweze kuingiza. Nikamwambia endelea. Akawa yupo kwenye Extension ya TV anaweka luku yake.

Nikapunguza moto jikoni nikamfuata nikamsaidia akafanikiwa.

Nikaongea ki utani tuu kwamba chakula kipo tayari aje kula, akasema ana njaa lakini anajisikia uvivu kupika ndo kwanza anafika nyumbani ngoja akaoge kwanza.

Akaenda akaoga. Baada ya nusu saa hivi akawa amekuja na Track suit yake basi nikamkaribisha tukawa tunakula Ugali, Mayai na matunda. Tumekula tukawa tunapiga story za kawaida, nikamuomba na mm nikaoge kwanza nikaoga tukawa tupo Sebuleni tunachek mechi ya Afcon

Mida ya saa 6 hivi akawa anataka kulala, nikamwambie nikusindikize kwako basi for first time ndo naingia kwake, nikapiga porojo mbili tatu nikamuuliza nakuagaje sasa.?? Akasema vyovyote. Basi nikamkumbatia akawa kafumba macho akasema asante nikaondoka.

Nikaingia ndani nikalala. Mida ya saa 8 hivi nasikia Geti linagongwa, nikasogea nikauliza we nani? ( Mimi jakiiiii) basi nikafungua mlango nikamuuliza vipi mbona usiku vipi?

Akasema unajua sina namba yako ya simu,? Nikamuuliza ndo usiku huu sasa mbona hukusena saa ile. Nikaona dalili fulani sizielewi. Basi nikafungua Geti akaingia. Tukaelekea chumbani tukalala

Asubuhi akaamka akaenda kwake. Akajiandaa akaenda kwenye mishe zake.

Sasa hivi ndo umekuwa mchezo. Hakuna siku nalala peke yangu. Tunaamua tu tulale wapi. Tukipika kwangu tunalala kwangu. Tukipika kwake tunalala hapo hapo.

Design sasa amekuwa kama mke. Japo kila mtu ana maisha yake
 
mkuu hizi luku zina mambo mengi
Jiongeze Mkuu si ajabu ndiyo ushajipatia mke mtarajiwa. Kama ana tabia nzuri na muelewa usilaze damu Mkuu. Mungu kakuletea mke kupitia gizani na luku
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ilishatokea kwangu pia...2005 Kinondoni. Ila mimi nilimtoa out jirani yangu. Simple like...vipi twende out basi leo..siyo unakaa kaaa hapa home tu...kweli kaka iMind...basi ngojea nijiandae. Disko huko nikawa najipimia oil tu kama ninavyotaka..tukarudi tukalaa pamoja...ndo ikawa mwanzo. Ila alikuwa na boyfriend wake design...akasema hawezi kumuacha...so tukawa tunaendelea kisela. Akaolewa kaondoka...mara moja moja huwa tunakumbushia hadi leo. At least twice a year.
 
Hahahahahhahaha nimejikuta nacheka mwenyewe looh.

That's so funny, kuna muda huwa nawaza kama hiyo hadithi yako....

Nyie sio wapenzi bali ni friends with benefit. Na mtadumu sana kama hamtaanza kufatiliana ulikuwa wapi mbona hukupokea simu mbona hujapatikana siku nzima..... Life is more than have a person as a territory....

Ila nyege mbaya sana aahahahahahhaaaa saa nane usiku unagonga mlango wa mtu kuomba namba ya simu aaahahahahhahahahahaaaaa keimaaakaaakeeee waalaaah hadi nimemuonea gele aahahahahahaaa

Amenikumbusha ofisini kwetu tukiwa na safari ya kikazi halafu wote tunakaa hoteli moja ila kila mtu na chumba chake huwa tunaambiana, jamani ukigongewa usiku kuazimwa charge au kitana au pasi muwe mnafungua mlango (hasa wanaume Ndo huwa wanatutania wanawake, msiwe wachoyo tunaanzima tuu....)

Utasikia jamani charge yangu imeisha nakuja kuazima charge.... Saa nane usiku aahahahahahahahhahahahaaaa

Have fun and enjoy the relationship while it last.
 
Huo ndio uanaume , baada ya kuacha kuharibu mchumba wa mtu inayokaribia ndoa, uzuri huyo hajakuambia ni mchumba wa Mtu kwa hiyo sio kosa lako Kama na yeye atakuwa na mchumba wake na hakukuambia .....hahahahahaha jokes tum
 
Ilishatokea kwangu pia...2005 Kinondoni. Ila mimi nilimtoa out jirani yangu. Simple like...vipi twende out basi leo..siyo unakaa kaaa hapa home tu...kweli kaka iMind...basi ngojea nijiandae. Disko huko nikawa najipimia oil tu kama ninavyotaka..tukarudi tukalaa pamoja...ndo ikawa mwanzo. Ila alikuwa na boyfriend wake design...akasema hawezi kumuacha...so tukawa tunaendelea kisela. Akaolewa kaondoka...mara moja moja huwa tunakumbushia hadi leo. At least twice a year.

Duuh.... Sijui kwa nini huwa sipendi kupasha viporo vya chapa mtu....
 
*** buddy or FFB but sometimes there is a possibility for both participants to catch a feeling and realize that they are falling in LOVE sasa hapo ndiyo huwa kizungumkuti especially when it comes to the next stage of their relationship.

Hahahahahhahaha nimejikuta nacheka mwenyewe looh.

That's so funny, kuna muda huwa nawaza kama hiyo hadithi yako....

Nyie sio wapenzi bali ni friends with benefit. Na mtadumu sana kama hamtaanza kufatiliana ulikuwa wapi mbona hukupokea simu mbona hujapatikana siku nzima..... Life is more than have a person as a territory....

Ila nyege mbaya sana aahahahahahhaaaa saa nane usiku unagonga mlango wa mtu kuomba namba ya simu aaahahahahhahahahahaaaaa keimaaakaaakeeee waalaaah hadi nimemuonea gele aahahahahahaaa

Amenikumbusha ofisini kwetu tukiwa na safari ya kikazi halafu wote tunakaa hoteli moja ila kila mtu na chumba chake huwa tunaambiana, jamani ukigongewa usiku kuazimwa charge au kitana au pasi muwe mnafungua mlango (hasa wanaume Ndo huwa wanatutania wanawake, msiwe wachoyo tunaanzima tuu....)

Utasikia jamani charge yangu imeisha nakuja kuazima charge.... Saa nane usiku aahahahahahahahhahahahaaaa

Have fun and enjoy the relationship while it last.
 
updates zipi unataka. Saivi napata huduma hata ambae ameoa hapati mzee
Uwe unatupa updates Mkuu. Siku hizi unaamka mwepesiiii ugwadu haukupi shida tena raha tele Mkuu. Usimkorofishe huyo mrembo kama anakula ugali hata usiku basi hana makuu huyo, ila cheki kama hayumo humu asiwe akawa anakuchora
 
  • Thanks
Reactions: BAK
**** buddy or FFB but sometimes there is a possibility for both participants to catch a feeling and realize that they are falling in LOVE sasa hapo ndiyo huwa kizungumkuti especially when it comes to the next stage of their relationship.

Being in love.... Been there done that...

Nishawahi kuwa kwenye mapenzi kimzaha mzaha ila hatukutaka kuanza ile formal maana ina vikwazo. Tuliishia kuinjoi mahusiano hadi yalipokatika na kuisha, sababu kama hao wakianza tuu mmoja arudishe nyumba ili waishi nyumba moja itaanza nani auze makochi yake nani TV yake ihamie chumbani ya nani ibaki sebleni..... Ndugu zangu wakija mbona unajificha huwakaribishi hunitambulishi kwa wageni wako like kugandana mgongoni.

Life is to live the moment, ila hakuna kitu sikipendi kama kujikuta mahusiano yanakatika sababu ya formalities.....
 
Mzee chochote chaweza tokea maana Sina Warranty kabisa. Nafanya live concert
Update za kupelekwa ukweni au kutegemea kijacho maana sidhani kama huchezi peku peku Mkuu.
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
Back
Top Bottom