Penzi halina mjuaji wala msomi,

Makau Js

Member
May 25, 2017
93
150
ffd8dc5740d41868da0fb03c9d29c6ed.jpg
WordPlay- Penzi ni moja ya kitu kigumu ambacho kimetushinda wanadamu wengi ,Penzi halina mjuaji wala msomi,na ndio maana maandiko yalitupa tahaadhali wanaume,''Pombe na wanawake huwapotosha wanaume wenye akili.'' kwa maana hiyo kama una akili kimbia pombe na wanawake.

Robert Gabriel Mugabe linapokuja swala la ,mahusiano huwa anakuwa romantic kwa mkewe ,Grace Marufu bila kipingamizi chochote ,Mugabe akiwa faragha huwa naye anabembeleza mkewe na kumpa maneno matamu.

Penzi lina nguvu sana ndio maana hata watu wanaoteka watu nchini Tanzania nao hutekwa na mapenzi na kuwa watumwa wa penzi.

Penzi linawaliza watu maskini na matajiri ,wanasiasa wanawadanganya sana wananchi ,ila linapokuja swala la mapenzi wanasiasa ndio wanakuwa watumwa wakubwa wa mapenzi ,mapenzi yana watesa sana wanasiasa kuliko siasa yenyewe.

Nasisitiza mwanamke bora kabisa kwa mwanaume ni mke wake wa ndoa,Mke wa ndoa ndio mwanamke bora kabisa kwenye maisha yote ya mwanaume .

Kama unatembea na mume wa mtu na wewe ni binti ambaye haujaolewa jua unatumiwa kama chombo cha starehe, sababu mwisho wa siku mume atarejesha mwili wake na akili yake kwa mke wake wa ndoa wewe unakuwa daraja la hitaji lake la mwili.

Mabinti wanatumia muda mwingi sana kupost picture kwenye social media ,kuwavutia wanaume ,ile wavulana ndio hupenda like picture zao .

Wanaume tunajua uzuri wa mwanamke upo kwenye akili yake ,moyo wake na kinywa chake, Pasport size ,vitambulisho vya taifa na card za kupigia kura huonyesha uhalisia na uzuri wa mwanamke na sio picture za Instagram , na Facebook.

Hata Professor Ibrahim Haruna Lipumba huna anakuwa romantic kwa wake mwandani wake.The true measure of romantic love is commitment and trust, not physical attraction.[HASHTAG]#Romantic[/HASHTAG].
 
The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
42,258
2,000
Ndo maana wanasema 'ku fall in love'
yaani kuanguka kwenye penzi..

Ukitumia akili huanguki...lakini mioyo huanguka
 
Sent Kb

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
4,673
2,000
Robert Gabriel Mugabe linapokuja swala la ,mahusiano huwa anakuwa romantic kwa mkewe ,Grace Marufu bila kipingamizi chochote ,Mugabe akiwa faragha huwa naye anabembeleza mkewe na kumpa maneno matamu

Mmmmh, ushahidi tafadhali..!!
 
emnly danny

JF-Expert Member
Dec 29, 2016
264
250
ffd8dc5740d41868da0fb03c9d29c6ed.jpg
WordPlay- Penzi ni moja ya kitu kigumu ambacho kimetushinda wanadamu wengi ,Penzi halina mjuaji wala msomi,na ndio maana maandiko yalitupa tahaadhali wanaume,''Pombe na wanawake huwapotosha wanaume wenye akili.'' kwa maana hiyo kama una akili kimbia pombe na wanawake.

Robert Gabriel Mugabe linapokuja swala la ,mahusiano huwa anakuwa romantic kwa mkewe ,Grace Marufu bila kipingamizi chochote ,Mugabe akiwa faragha huwa naye anabembeleza mkewe na kumpa maneno matamu.

Penzi lina nguvu sana ndio maana hata watu wanaoteka watu nchini Tanzania nao hutekwa na mapenzi na kuwa watumwa wa penzi.

Penzi linawaliza watu maskini na matajiri ,wanasiasa wanawadanganya sana wananchi ,ila linapokuja swala la mapenzi wanasiasa ndio wanakuwa watumwa wakubwa wa mapenzi ,mapenzi yana watesa sana wanasiasa kuliko siasa yenyewe.

Nasisitiza mwanamke bora kabisa kwa mwanaume ni mke wake wa ndoa,Mke wa ndoa ndio mwanamke bora kabisa kwenye maisha yote ya mwanaume .

Kama unatembea na mume wa mtu na wewe ni binti ambaye haujaolewa jua unatumiwa kama chombo cha starehe, sababu mwisho wa siku mume atarejesha mwili wake na akili yake kwa mke wake wa ndoa wewe unakuwa daraja la hitaji lake la mwili.

Mabinti wanatumia muda mwingi sana kupost picture kwenye social media ,kuwavutia wanaume ,ile wavulana ndio hupenda like picture zao .

Wanaume tunajua uzuri wa mwanamke upo kwenye akili yake ,moyo wake na kinywa chake, Pasport size ,vitambulisho vya taifa na card za kupigia kura huonyesha uhalisia na uzuri wa mwanamke na sio picture za Instagram , na Facebook.

Hata Professor Ibrahim Haruna Lipumba huna anakuwa romantic kwa wake mwandani wake.The true measure of romantic love is commitment and trust, not physical attraction.[HASHTAG]#Romantic[/HASHTAG].
Mkuu mbona kama ku mwandiko wa Benjamini James fbook
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom