Zari made a big mistake kutembea na mtu kama Diamond. Mshamba wa mademu siku zote hawezi badilika hata iweje hata akiumwa gonjwa la zinaa LAZIMA tu atajitahidi kudanganya ili aendeleze tabia/hobby yake. Mwanamke anayejitambua hawezi kutoka na Diamond hata siku moja.