Joeli
JF-Expert Member
- Apr 25, 2011
- 4,941
- 3,402
Nadhani kila kompyuta uwa kama haijabandikwa lebo Pentium Inside, core2, duo, M etc basi itakuwa ina lebo ya AMD, AMD premium etc!
wataalamu naomba mnipe tofauti kati ya pentium na amd, faida za kila moja, hasara za kila moja, ipi inakuwa recommended za matumizi personal...