Pentagon yakiri wanajeshi wao 50 wamejeruhiwa katika shambulizi la Iran

Walianza na "all is well",wakaja kukiri watu 10 wamejeruhiwa,wakaja tena wakasema wameongezeka majeruhi 35,leo tena wanadai majeruhi 50,watasafirishwa kwa ajili ya matibabu zaidi.

Mwisho siku watakwambia katika wale majeruhi waliokufa 80,mwisho wasiku watarudi mwanzoni na kula matapishi yao.
 
Gaidi Soulemani amekufa amekufa na hatakaa arudi tena ktk dunia hii na hata namba zake za simu labda wameshauzia wengine.

Haya mengine mnayozusha sasa ni porojo tu za kwenye vijiwe vya kahawa.

The die is cast and (Rip) Soulemani and all the best with the 72 Virgins. This time the much touted allah was subdued by the true spirit of the Almighty God.
 
leo pentagoni wamesema majeruhi wamefikia 64

All is well alidanganya na kadri siku zinavyoenda watasema ukweli kuwa majeruhi walikuwa 200
"Majeruhi" waliodevelop concussions na majeruhi waliokatwa mikono, miguu, masikio na kuvuja damu za kutosha hawawezi kuwa sawa. Anyway, this is none of our business na tuwaache wapambane kivyao
 
Ubongo wa nguruwe una tatizo gani?
Hujaona kuna tafiti moyo wa Nguruwe miaka ya hivi karibuni utaanza kupandikizwa kwa wanadamu wenye matatizo ya moyo?
Wacha Biblia iseme...

Kumbukumbu la Torati 14:
8 na nguruwe, kwa kuwa amepasuliwa ukwato lakini hacheui, huyu ni najisi kwenu msile nyama zao, wala mizoga yao msiiguse.
 
Hakuna Mungu apasae kuabudiwa isipokuwa Mungu...na Mungu wangu ni pesa....PesaAkbar


Qur'an 63:
63_9.gif

9. Enyi mlio amini! Yasikusahaulisheni mali yenu, wala watoto wenu, kumkumbuka Mwenyezi Mungu. Na wenye kufanya hayo ndio walio khasiri.
9
 
Hakika umesema vyema na huwa nnaomba usiku na mchana, nife nami nipo kwenye dini ya Allah, Uislam.

Vipi wewe, mfia nini?
This is fantastic. Hivi waislamu waga hawafi? Mbona kwenye makaburi kuna maeneo yametengwa kwa ajili yao.
 
Qur'an 63:
63_9.gif

9. Enyi mlio amini! Yasikusahaulisheni mali yenu, wala watoto wenu, kumkumbuka Mwenyezi Mungu. Na wenye kufanya hayo ndio walio khasiri.
9
Kwahiyo tusiabudu mali tuabudu nini??
Mimi allah wangu ni pesa
Mimi mungu wangu ni pesa
Au unanishauri nimwabudu allah gani?
 
Back
Top Bottom